Hivi wanaoishi maeneo haya na wenyewe wanajiona kabisa wanaishi Dar?

Hivi wanaoishi maeneo haya na wenyewe wanajiona kabisa wanaishi Dar?

WASHAMBA WENGI WAKIJA MJINI WAKIISHI MWAKA MMOJA, NDIYO HUANZISHA MADA ZA NAMNA HII, HUKU ANAPOISHI HATA CHUMBA HALIPI YEYE.
HAKUNA MWENYE NYUMBA YAKE DAR, ALAFU AANDIKE UPOOZI HUU.
 
Kuna sehemu huwa nikipita hapo dar naona kabisa kuliko niishi huko bora niendelee tu kuishi huku kijijini kwetu.maeneo ni machafu,msongamano wa watu ni mkubwa,kunanuka harufu mbaya,joto kali,tabia za ajabu ajabu,usalama hakuna,umasikini uliokithiri nk.
1.Manzese
2.Magomeni
3.Mburahati
4.Kigogo
5.tandale
6.Gongo la mboto
7.Mbagala
8.mwananyamala
9.Temeke
10.Buguruni
We dogo ,juzi tu ulikuwa Jobless ,umepata hicho kiajira chako cha laki saba mwaka jana utumishi leo unaleta dharau na kujiona Don flani mithiri ya sheikh Makhtoum au sio ?
Nchi yako yenyewe hii unayoishi ni nchi maskini wa kutupwa , unategemea raia wake wengi waishi wapi na wawe na maisha yapi ?
Acha dharau kwa wakubwa zako tutakulamba vibao sasa hivi ,Kenge we !
 
Back
Top Bottom