Hivi wanaokataliwa kupewa fomu za kugombea Serikali za Mitaa ni CHADEMA peke yao au wapinzani wote?

Hivi wanaokataliwa kupewa fomu za kugombea Serikali za Mitaa ni CHADEMA peke yao au wapinzani wote?

Mwenye kujua atujuxe Tafadhali.

Maana humu mitandaoni wanaolalamika ni Chadema peke yao ndio nauliza vyama vingine vya upinzani havina wagombea au wao hawafanyiwi figisu?

Nilimsikia Prof Lipumba kupitia Star tv akitamba chama chake cha CUF kuibuka na ushindi wa 30%.
Je, CCM hawaihofii Cuf isipokuwa Chadema and only Chadema?!

Maendeleo hayana vyama!

Huyo Lipumba ni kama kocha wa Mbeya mji kuwatishia Barcelona. Sio juu ya cdm kuwasemea vyama vingine maana sio wajibu wao. Iko wazi kuwa ccm haiwezi kushindana na cdm, hilo halina mjadala.
 
Duuuh umenikumbusha mbali sana bwashee, Swali kama hilo mwaka 1959 KABURU BOTHA aliuliza kwenye mkutano wa umoja wa Mataifa, kwamba" Hivi hapo Tanzania anayenyanyasika ni Nyerere tuu wengine hawanyasiki au nyerere amekuwa na Tabia ya kimandela Mandela??.
Tayari inaonesha ukaburu unaanza kuota mizizi ndani ya Tanzania.
Kwahiyo Mbowe ni kama Nyerere?!!

Kaazi kweli kweli!
 
Chadema hii inayokimbiwa na wabunge na madiwani kila uchwao?!!
Kwanini anawagopa sasa kama anaona haina lolote? Jiwe halali kisa Chadema. Wakina Lissu ndiyo hivyo tena! Siasa anafanya yeye tu na CCM. Kwanini hataki fair ground kama haogopi? Acheni Kujitia upofu. Hofu ya Jiwe ni Chadema. Period.
 
Mwenye kujua atujuxe Tafadhali.

Maana humu mitandaoni wanaolalamika ni Chadema peke yao ndio nauliza vyama vingine vya upinzani havina wagombea au wao hawafanyiwi figisu?

Nilimsikia Prof Lipumba kupitia Star tv akitamba chama chake cha CUF kuibuka na ushindi wa 30%.
Je, CCM hawaihofii Cuf isipokuwa Chadema and only Chadema?!

Maendeleo hayana vyama!
CUF ya profeselii wa Olijino comedy Lii wa pumba ni Tawi la CCM, hawawezi kumhujumu kwani siyo tishio kwao, CCM wanaihofia chadema sana ndiyo maana wamewaandama kwa kila baya wapate kuwadhoofisha kabsa,
 
Usisumbuke na propaganda za Saccos mkuu! Wameshajua hawatashinda ndiyo maana wanatengeneza vigisu ili wapate huruma za watz. Hawa jamaa siku hizi wamekuwa wasanii wakubwa. Uliona wakati wa kujiandikisha walikuwa wanasema wamesusa hawajiandikishi lakini sasa tena wanasema wananyimwa fomu! Kama hamkujiandikisha sasa mnachukua fomu za nini?? Aliyewapa jina la nyumb aliona mbali sana...!!

Uza ubongo huo maana unakaa nao kwa hasara, chama kilitangaza kitashiriki, ila wananchi tunaojitambua ndio hatujajiandikisha kupiga kura. Usitake kupotosha, kama huna ujialo ni vyema ukakaa kimya.
 
Chadema wanahitaji Al qasous ya Kisiasa warudishe nguvu zao za enzi ya Jk

Chadema wana nguvu ndiyo maana mtukufu magufuli hutumia gharama kubwa kuwahujumu kila mara
 
Chadema wana nguvu ndiyo maana mtukufu magufuli hutumia gharama kubwa kuwahujumu kila mara

Sasa nguvu maana yake ni nini kama ukiambiwa fyata unaufyata? Au unazungumzia nguvu za kitandani?
 
Chadema hii inayokimbiwa na wabunge na madiwani kila uchwao?!!

Acha kuvuta Bangi kisha unajitoa fahamu kibwege bwege, kama chadema ingekuwa Dhaifu iweje CCM mnatumia nguvu kubwa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi kuwapora ushindi kwenye chaguzi mbalimbali? Kuwahujumu kwa kila hali? Hakuna mbunge wala Diwani kakimbia bali wamenunuliwa na CCM kwa njia haramu,
 
Kwahiyo Chadema hamna mbinu za kuwadhibiti wabunge wenu wasinunuliwe na hao CCM?!
 
Bwashee uwe unaelewa au mbege bado haijakutoka mu kichwa!
[/QUOTE
johnthebastard lini utakuwa serious? unachangia sana upumbavu. kila anayekufahamu anaona aibu. mambo mazito unayafanya mepesi. watu wanapigwa mapanga, wewe uko unataniatania. only an idiot can act the way you're doing. hakika bila shaka umedhihirisha wewe ni mpumbavu.
 
Huyo Lipumba ni kama kocha wa Mbeya mji kuwatishia Barcelona. Sio juu ya cdm kuwasemea vyama vingine maana sio wajibu wao. Iko wazi kuwa ccm haiwezi kushindana na cdm, hilo halina mjadala.
Tume huru ya uchaguzi na uchaguzi wa huru na haki CCM hawezi kupata kura hakuna Mtanzania mwenye Akili Timamu anaitaka CCM tena
 
Pumzi imekata kwa chadema

Watendaji wa kata wa serikali ya chadema wanazikimbia ofisi, mmoja kateguka mguu.

Waziri wa tamisemi Mh. Silinde jiuzulu mara moja kabla nchi haijaingia kwenye matatizo.
 
Hakuna cha nchi kuingia kwenye matatizo,je chadema ndo mtaiingiza nchi kwenye matatzo ? Labda chama chenu ndo kitaongia kwenye matatizo maana inaonekana in chadema pekee wanao hujumiwa
Watendaji wa kata wa serikali ya chadema wanazikimbia ofisi, mmoja kateguka mguu.

Waziri wa tamisemi Mh. Silinde jiuzulu mara moja kabla nchi haijaingia kwenye matatizo.
 
Hili swali muulize yule msemaji wenu wa chama (mwanaharakati huru)
Yeye kila jambo baya kwa upinzani anaishambulia Chadema tu.kwanini?
 
Si mmwambie tu, na CCM wanafanyiwa rafu hizo hizo. Juzi, huko Ruangwa, jimbo la Majaliwa, wagombea wa CCM wamenyimwa fomu, mwingine akachaniwa fomu na mtendaji!!
 
Back
Top Bottom