Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 24,523
- 30,084
Mme mwenzio hawezi kumpenda has a mambo yake yakiwa safi wakati wewe una bajaji tu. Kwenye JF of GT usipoisifu CCM unaitwa Chadema! Mkiwa wanachadema wawili na fulana zenu hammalizi mitaa miwili mtakuwa mikononi kwa kuandamana, wanaccm hats wakiwa mia moja hawaogopwi kwani ni maboya tu.Mwenye kujua atujuxe Tafadhali.
Maana humu mitandaoni wanaolalamika ni Chadema peke yao ndio nauliza vyama vingine vya upinzani havina wagombea au wao hawafanyiwi figisu?
Nilimsikia Prof Lipumba kupitia Star tv akitamba chama chake cha CUF kuibuka na ushindi wa 30%.
Je, CCM hawaihofii Cuf isipokuwa Chadema and only Chadema?!
Maendeleo hayana vyama!