T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,101
- 4,560
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni case study uliza madaktari wamekutana nazo si mara moja. Ile baba wa kishua kasafiri basi mama anakwambia "Junior nawe kaogelee". Mara nyingine binti anapata mimba ya baba au kaka usifikiri nimetunga story hata kwenye mitandao utapata hizo case studies.Umeandika una akili timamu
Wewe ni muongo.... How can sperm survive and swim kwenye maji yenye kemikali mbalimbali...Hii ni case study uliza madaktari wamekutana nazo si mara moja. Ile baba wa kishua kasafiri basi mama anakwambia "Junior nawe kaogelee". Mara nyingine binti anapata mimba ya baba au kaka usifikiri nimetunga story hata kwenye mitandao utapata hizo case studies.
kibongo bongo watu wanafanya mambo tuSijawahi kuogelea katika swimming pool hata siku moja. Sababu yangu kuu ni kuogopa kama wengine wanaweza fanya yao (kukojoa). Au nipo wrong?
Wengi wanakojoa, kuhara, wenye magovi wanasafisha, kusukutua midomo yao, kusafisha matako yao, ngono, wanawake walioko period uchafu unabaki ndani ya maji, wenye mapele mwilini ukurutu unabaki ndani, wenye majasho yao na magonjwa ya ngozi yanabaki ndani, kwa swimming pool zetu siyo salama sana, for your own risk.Tena ndio ukute mwingine anazama ndani kabsa akiibuka juu anatema maji na kusukutua kabsa.. Aiiii[emoji847]
Huwa nawahurumia wanawake, mijamaa inakojoa shahawa mule sasa zinaogelea na zinauwezo wa kumuingia mwanamke yoyote na kama yupo siku za kupata mimba inakuwa balaa, ndo maana shemeji yenu sijawahi kumpeleka swimming poolSijawahi kuogelea katika swimming pool hata siku moja. Sababu yangu kuu ni kuogopa kama wengine wanaweza fanya yao (kukojoa). Au nipo wrong?
Hapana mkuu na ushamba ulichangia, nilidhani sionekani mzee... Nilipo bana tu kiwembe cha kimba, goma likanyenyuka kama boya....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ulikuwa umelewa wewe.
Sent using OPPO Mobile Phone
Ni simulizi ndefu mama Mchungaji, miaka hiyo nilikuwa Rastenbug SAHivyo haya yanayosemwa hapa hukuwahi hata kuyawaza kabisa Baba Mchungaji?
Au kuna utaalamu gani pale katika mtiririko wa maji kwenye hiyo swimming pool mana kama mie huwa naziona ona tu Baba Mchungaji.
Hawajui....hata vile vibomba pembeni nahisi hawaonagi...na kile kinachokuwaga katikati cha kutolea maji au hata swimming pool hawajai kwenda wapo kutusumbua tu hapaSwimming pool inamfumo kama mfumo wa damu au hewa kwa binadamu yaani yale maji yapo kwenye (mzunguko) yanaaingia na kutoka kusafishwa na yanarudishwa hivyo sehemu ya chini yananyonywa na sehemu ya juu yanarudishwa hivyo uchafu hauwezi kuwepo muda mrefu unaondolewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaWanawake wanaweza pata mimba kwa kuogelea kwenye simming pool bila kujua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo. Sperms haziwezi kusurvive kwenye maji, tena ya swimming pool. Temperature, volume na pH ya maji haiwezi ku-support survival ya sperms.Mama aliingia akatoka na mimba kumbe kijana wake (mtoto wa kumzaa) aliingia kabla akaacha shahawa. Kwa hiyo mama alizaa mtoto na mtoto wake.