Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Mimi? Wapi? Lini? Saa ngapi š¤
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi? Wapi? Lini? Saa ngapi š¤
Mimi? Wapi? Lini? Saa ngapi [emoji848]
Tulikutana wapi? Mimi siendagi mikadi beach wala coco šš
View attachment 1316379Sijawahi kuogelea katika swimming pool hata siku moja. Sababu yangu kuu ni kuogopa kama wengine wanaweza fanya yao (kukojoa).
Au nipo wrong?
Hii ya walio period ndio inatia kinyaa zaidi puuu! Siogelei tenaWanakojoa
Wanajamba
Hata walio period wanaswim esp baharini
Watu wanasugua CD mule ( couples + beach boys
....ila siachi š
ššš lakini maji si yanaflow? Hakuna mbayaHii ya walio period ndio inatia kinyaa zaidi puuu! Siogelei tena
Halafu magonjwa ya kuambukiza sijui UTI na makorokoro yake nahisi ni mtu na mtu + kinga zake za mwili...
Aah bwana basi usinitishe š ila kipindupindu ni huko kwenu dar, Ebola sina chochote nikijuachoHivi wewe unaijua Ebola au unaisikia??, kipindupindu unakijua??-- ikatokea kuwe na mtu anacho kipindupindu na hayo maji yakachafuka "contaminated" na maambukizi mbona watu wengi wataathirika, inaweza ikatokea na huwa inatokea kwa bahati mbaya mtu akanywa hayo maji-- maambukizi kibao ya maradhi.
Ndo maana naogopa sana kukuchunguzaSiku zote ukimchunguza bata hutaweza kumla Mkuu.
Siogelei tena kuanzia leo.[emoji23][emoji23][emoji23] lakini maji si yanaflow? Hakuna mbaya
Aah bwana basi usinitishe š ila kipindupindu ni huko kwenu dar, Ebola sina chochote nikijuacho
Tulikutana wapi? Mimi siendagi mikadi beach wala coco [emoji41][emoji41]
Duh sio poaKwani mi nimesem mikadi au coco mamii... relaax hakuna haja ya kumwaga mchele hapa
Sent using Jamii Forums mobile app