Hivi wanaooga kwenye swimming pools hawakojoi mule? Kiafya ipoje?

Mi naoga kwenye waterfalls! Swimming pools too much urine and salivas
 
View attachment 1316379Sijawahi kuogelea katika swimming pool hata siku moja. Sababu yangu kuu ni kuogopa kama wengine wanaweza fanya yao (kukojoa).

Au nipo wrong?
Kumbuka swiming pools zina system ya ku-circulate maji na ku-add chemicals ili kuyasafisha.. mfano Chroline... hata wasipokojoa, kitendo cha kuingia mule unaacha majasho yako na makorokoro mengine toka mwilini kwako...

USAFI HUWA UNAFANYIKA IKIWEMO WATER TREATMENT
 
Kwa wenzetu kuna baadhi ya maeneo ambayo yamestaarabika, ukikojoa tu basi mkojo una react na kemikali iliuowekwa inageuza hapo hapo rangi ya maji ulipokojoa kuwa rangi fulani i.e kijani, bluu n.k
 



Weka ukweli, Swimming pool ni kama watu wanaokunywa pombe za kirnyeji, kibuyu kimoja kinatembezwa kwa kila mtu na kila mmoja anaweka domo lske hapo hapo alipoweka mwenzake kabla au ni sawa na maji ya kunawa yaliyomo ndani ya Chombo kimoja watu wote hunawa humo kabla ya kuanza kula.

Sasa wewe unsyejiona mkweli, kama kuna mtu kaambukizwa Ebola na akaoga ndani ya Swimming pool huoni hatari yake watakapooga watu wengine??-- au huijui Ebola??, A very highly contagious disease todate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…