Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

we nae umo
eti ukiwa msiri?siyo msiri tu na pesa muamala usome,siyo kusumbuana pm muamala hakuna mkiambia laki 2 unakimbia

Nimo kwa mahondaw wangu tuu...

Japo maisha siyo kutesa kila siku pesa ndiyo kila kitu...

Ukiona mwanaume anakusumbua sana umkubalie ujue hana cha kukupa zaidi ya sehemu zake... pesa haina maneno mengi...


Cc: mahondaw
 
Hahaha haijalishi lakin kama inampatia hitaji lake...hyo hyo akikutana na mwanamke alieko desperate kama yule g wa jana hata atongozwe kibabu anaingia kingi tu[emoji23] [emoji23]
Acha uchokozi
 
we nae umo
eti ukiwa msiri?siyo msiri tu na pesa muamala usome,siyo kusumbuana pm muamala hakuna mkiambia laki 2 unakimbia
Shikamoo. Kama hujui kutumia hela hata urafiki unakua wa mashaka. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahaaa. Wape wape wape.

Umejua kuwaza mbali na hata wale wanaotuponda pia huenda hawajui hata wadada wa jf wanafananaje. [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeh vibaya hivo jamani msitufanyie hivyo vijana wenzenu,
mungu katupa tubadirishane😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…