Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hahaha haijalishi lakin kama inampatia hitaji lake...hyo hyo akikutana na mwanamke alieko desperate kama yule g wa jana hata atongozwe kibabu anaingia kingi tu[emoji23] [emoji23]
g lazima yamkute na jana kuna watu walimkesesha pm,fisi pale wametamua midomo yao,ndo maana hata pm zetu wadada alikuwa hajibu namuangalia tu gire
 
Nimo kwa mahondaw wangu tuu...

Japo maisha siyo kutesa kila siku pesa ndiyo kila kitu...

Ukiona mwanaume anakusumbua sana umkubalie ujue hana cha kukupa zaidi ya sehemu zake... pesa haina maneno mengi...


Cc: mahondaw

Hahahahaha......hakika siku ya hukumu wengi tutachomwa moto kwa hii dhambi ya kupenda penda hela.. make imeandikwa hata katika biblia Waebrania 13:5
"MSIWE NA TABIA YA KUPENDA FEDHA; MWE RADHI NA VITU MLIVYO NAVYO ;KWAKUA YEYE MWENYEWE AMESEMA SITAKUPUNGUKIA KABISA WALA SITAKUACHA KABISA"


- ila Kuna wanaume wamejaaliwa jamani watu vismart siooo vya nchi hiiiiii.. pesa ipoooooo mambo anayawezaaaaa basi inakua hatareeeeeeeeeeeee hahaha nacheka kama mazuri vileeee
 

Kausha mahondaw wangu... kaone kwanza kalivyo kazuri...
 
g lazima yamkute na jana kuna watu walimkesesha pm,fisi pale wametamua midomo yao,ndo maana hata pm zetu wadada alikuwa hajibu namuangalia tu gire
Hiki ndo kipindi wanampa pole na kumwaga sera zao at the same time. Akidanganyika tu akamkubali mtu atalia tena
 
Ina maana mpaka sasa hujawakula japo wadada 30 wa JF?

Basi wewe utakuwa mzembe kama mainjinia walioshindwa kuiamsha bombadia iliyolala...
 
Nimo kwa mahondaw wangu tuu...

Japo maisha siyo kutesa kila siku pesa ndiyo kila kitu...

Ukiona mwanaume anakusumbua sana umkubalie ujue hana cha kukupa zaidi ya sehemu zake... pesa haina maneno mengi...


Cc: mahondaw


I always thank God for that smart.. God bless uuuu sanaaa .

ila smart ungekaa sana uswahilini sipati picha hayo maneno asee.. eti hana cha kukupa zaidi ya sehemu zake... maharage ya mbeya nae una muda wa Kuhudumia kweli!???? si burebure tu ama??
 
Sio Inna.

Mtoto mmoja nilimuanza kama utani tu. Kumbe bikra.

Mwingine aliniuzia jiko la gesi , nilikuwa namnunulia kimada . mwisho wa siku akatoa na papuchi.

Usiende pm kwa ajili ya kutongoza.
Unaenda kwa mengine.
Au jifsnye unatoa ushauri
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…