Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

kwa hiyo mahondaw unataka kusema smart pesa ipo na kazi anaiweza?haya ndugu wajumbe wamesikia watalifanyia kazi
 
Mwanaume ni ndizi ya bukoba... mwanamke ni harage la mbeya...


uhuhuhuhuuu...Smart mbavu zangu hukuuu mwenzio dohh... ndizi bukoba ni kubwa sana na nene na ndefu Yani zimejaa harage la mbeya si ni laini kuiva ama?! khakhakhaaaaaaa....
 
[emoji23][emoji23][emoji23] acha bwana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…