Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Mkuu nina dawa ya kumvuta mwanamke yeyote umpendae na akaja mwenyewe hadi geto kwako.

Tuma Tsh 100,000 kwanza ndio tuingie kwenye maongezi
 
shoga usitoke nje ya mstari,kizuri kula na nduguzo,watu wameshaupdate mafile



Hahahahah....unakula watu amu?? Smart911 masikini kabisaaa mbwa kachokaaaaa Sema ana kismart sio cha nchi hii
 
Sasa wacheka tena, wakati ushakatazwa kucheka wenzako wakiwa wanataabika.
 
Miller hujamsoma kritika hana bwana,kakosa upendo madavdav basi ila akimpata mtamsahau humu,kwanza mzuri sana umecheki liavatar lake?
nikupe siri, wanaume hatupendi mwanamke mwenye maneno mengi na kuongea sana...hata awe mzuri zaidi ya malaika,

hawa waongeaji wa kawaida tu wanatutoa jasho ss akiwa wa type yake si hatari
 
Ukitaka kuwapata wewe sema umecheza Tatu mzuka umepata ml 220 ..wata kuja wenyewe
 
Mkuu umebadilisha font, ilikuwa inanipa shida sana kusoma nyuzi zako, nilikuwa nazipotezea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…