Oyeeeee. [emoji85] [emoji85] [emoji85]hahaha tanga oyeeeee@hajar@mzigua90@shunie
witty hii post ya daby imensogezea mda la sivyo asubuhi yangu ingekuwa ndefu sana,[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Inauma sana Mkuu, binafsi naumia mno,nabaki kusoma/kumsoma tu humuwanakera mkuu.
We acha,inauma sana aseewanakera mkuu.
Hahaha huwanajiulizaga hili swali ,halafu pesa sio ttz km mnasikilizanatehteh... sasa huku unawapaje pesa mkuu?
bora umeomba msamahahata mm nashangaa...nisamehe kama nimewahi kukukwaza tafadhali
[emoji4][emoji4]Uzoefu muhimu na maarufu ktk dunia hii ni PESA, hizo porojo nyingine ni kama kachumbari tu juu ya pilau
niacheni nichek kuna vituko humuSasa wacheka tena, wakati ushakatazwa kucheka wenzako wakiwa wanataabika.
mtakula kwa jashoTumeumbwa mateso mkuu.
kabisa yaan hususan huko jijiniya kweli haya
Hahaaaa. Hivi atamuweza kweli?hajar tumuweke kritika kwa daby
Why dear?we cheka
witty hii post ya daby imensogezea mda la sivyo asubuhi yangu ingekuwa ndefu sana,
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]wakuu kwema....
Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje!
tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?
Wengi pm wamefunga kabisa... ukisema uqoute jukwaani unaweza kujibiwa vibaya ukaabika mbele ya wadogo zako.
tupeane uzoefu mafundi. nawaaminia.
Yani ni basi tuu,.wengine kuongea ndio pona yetu kukaa na vinyongo kooni maji hayapiti kabisaaa,.japo staha muhimu,..kuna kuongea na kuropoka.unafkr akiwa na mwanaume aliempenda atakuwa na mijineo na mithread yake,najua wanaume kelele stress hampendi ila mtuvumilie jamani kuongea tunapata relief sisi si kama nyie mna koromelo
[emoji4][emoji4]bora umeomba msamaha
tuna kesi ujue makopa vip mpk mate yamekaukaAcha tu mdogo wangu. [emoji23] [emoji23] [emoji23]