Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

wakuu kwema....

Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje!

tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?

Wengi pm wamefunga kabisa... ukisema uqoute jukwaani unaweza kujibiwa vibaya ukaabika mbele ya wadogo zako.

tupeane uzoefu mafundi. nawaaminia.
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
unafkr akiwa na mwanaume aliempenda atakuwa na mijineo na mithread yake,najua wanaume kelele stress hampendi ila mtuvumilie jamani kuongea tunapata relief sisi si kama nyie mna koromelo
Yani ni basi tuu,.wengine kuongea ndio pona yetu kukaa na vinyongo kooni maji hayapiti kabisaaa,.japo staha muhimu,..kuna kuongea na kuropoka.
 
Back
Top Bottom