Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

JF BHANA
 
Inauma sana Mkuu, binafsi naumia mno,nabaki kusoma/kumsoma tu humu
komaa mkuu wewe mwanaume bana,wanawake tunajibu shombo ni kama kamechanism fulani kujenga ukuta usizoeane na wanaume ovyo,usikate tamaa mfate pm komaa kitaeleweka tu labda awe ameolewa au amewahiwa ila kama yuko loose luzi mpe attention yako tu
 
Akikuelewa atafanikiwa
 
Na mimi nasubiri majibu hapa hapa. Ngoja nikae mkao wa kudesa.
 
Daby
1.Jitahidi uwe na vihela hela kidogo vya kuwahonga.

2.Usimwambie mwanamke ukweli, Kwa sababu wanaamini uongo zaidi kuliko ukweli. Ukimwambia mwanamke ukweli anakukataa, ila ukisema uongo anakubali.

3.Usimpe mwanamke moyo wako(usimpe upendo wote wa kweli atakufanya zuzu).

4.Tongoza wasichana/wanawake wengi hata 10 au 20, Ili mmoja akitaka kukupanda kichwani, unamshiit na unaenda kwa hao wengine 8 au 19 waliobaki.
 
Ila unatakiwa ujue kuwa anayekuzungusha wewe muda mrefu mwingine anapewa ndani ya saa moja na yule yule aliyekuzungusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…