Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Mademu 20? Ngoma itakuacha salama kweli?
 
Inaonesha hujui nani wa kumfuata! Maharage ya Mbeya ni kama kritika , Mambembe , Demiss , Fake P etc. Wewe uparamie kipenzi changu Shunie au Mzigua90 au Sky Eclat au mahondaw utapata taabu
 
Mimi huwa natanguliza M-PESA au tigo pesa au Airtel money,baada ya kupata picha zake halisi kama NNE,kisha napunguza mawasiliano yeye atajua sijamaindi mzigo au labda nimemuona hanifai basi ataanza kuhangaika Mara SMS Mara WhatsApp, hapo wewe ni kukamata ndege tunduni.
 
mi sikubali mkuuuu..unahangaikia kitu ambacho wewe sio wa kwanza kuanza?? mi bwana hyo dawa ikipatikana naomba niambiwe tu maana sina Jinsi.
 
Mnatakiwa mjue mwanamke anatongozwa mno anakataaa sana lkn ktk kutongozwa huko anakufikia wewe nyege zushamjaa balaa yani unaweza kumtania tu nakutaka sasa hivi nikakumange unapewa gemu palepale lkn akitoka kwako umemmalizia nyege atakaokutana nao wataambulia matusi kupita kawaida ukadhani ni mgumu saaaana au ni mrahisi saaaana

Mwanamke akifikiwa kabanwa na nyege hata kichaa wa jararani anapewa kitumbua cheza na nyege wewe
 
we jamaa umemaliza yani huuu ndio UKWELI na hamna ukweli zaidi ya huuu.

Fix za kuskia et nataka mrefu sjui ana six pack sjui ana Gari kiboko yao NYeig.....eeeeeee
 
Mmmh ulijuaje?
 
Kwa wasomaji wa maandishi watayaona maandishi.

Kwa wasomaji wa nia/dhumun/lengo wataelewa maana yako.

Kawaida "Watu wachafu siku zote wanavaa mavazi masafi sana na wanapulizia na marashishi"

Nisababu tu ya watu kua waigizaji ,, ila amin nakuambia ,lait kama PM zingezungumza , Hata hii Post yako usingeiweka.

This is what we call " Unfolding the Folded".
Jiwe moja liualo ndege wawili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…