Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Duhhh....[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kuna mmoja anajiona mtakatifu, huwez amin kila mwanamke anayeniandikia uzi humu, huyo jamaa humfata ,sasa sijui kujaribu kumpima sijui ndo anaona wepesi?? ..bahat nzuri wananipaga access ya account zao , naishia kucheka tu.
Najisemea, sasa huyu majukwaan anajigamba namtu wake, hapohapo ,anakuja kuchomekea mwanamke wa mtu??
Nachekaga sana .
NAISHIA HAPA MKUU ...wacha niwe msomaji wa wanaojiita " watakatifu wasojua kutongoza"[emoji23]
Mkuu, naona umeamua kunichana laivu aiseeeee, maana nilisha zama piem kama 70's na mwisho wa siku nachomolewa za mbavuni, basi nabaki humu na fully aibu wallah....[emoji85] [emoji85] [emoji85]