Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Afadhali umenifichia aibu hii.....tehteehhhHujawahi kuja muone vile [emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afadhali umenifichia aibu hii.....tehteehhhHujawahi kuja muone vile [emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,ndio hivyo,na nitaomba univumilie,maana mi ntakua mgeni!Mimi ndo unifanye pilot eeeh?? [emoji23][emoji23]
Wewe ulishalika na members wangapi wa JF tuanzie hapoKweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tunachangamsha genge. Uongo ukweli utani humo humo
Hata mmoja.Wewe ulishalika na members wangapi wa JF tuanzie hapo
HahahaHapo ndio unakuja sawa mkuu, weanza kuvaa sura mbuzi kama mimi.... tehteehhh
Nimeenda PM moja ,nikapigwa kibuti ,hahaha ,ila sasa nimejifunzaWanaosemaga hivyo wanafkiii ndo wanashindaga pm za wanawake. Kuna mjinga mmoja anasemaga hajawahi kumtongoza mwanamke pm wakati anatongoza na anakataliwa na hapati nafasi hata ya urafiki. Tunawachoraga tu huku wakianza kujimaliza ooh siendi pm kwa wadada mara sijawahi konyo konyo.
Najua umeandika kiutani ila wapo wanaosemaga hivyo
Unaogopa kutangazwa?Najua ulinitosa kule PM[emoji13] [emoji13] lakini usintangaze...[emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Acha uongo na wewe faili lipoNimeenda PM moja ,nikapigwa kibuti ,hahaha ,ila sasa nimejifunza
Faili langu labda kwakoAcha uongo na wewe faili lipo
Hivi per day wewe unaweza pata PM kama ngapi hivi??Hujawahi kuja muone vile [emoji23][emoji23]
We kaka weweFaili langu labda kwako
Mbili au tatu tena kwa watu ninaochat nao pm mara kwa mara au tunaquotiana humu naelewa akili zao zilivyo. Wengine hata kujibu sijibu napita kama sioniHivi per day wewe unaweza pata PM kama ngapi hivi??
Ndio kwani siri,hahaha [emoji23]We kaka wewe
Daah,kumbe watu mna mafaili!Acha uongo na wewe faili lipo
Hayaaaaa. Sisemi neno mie ila jua najuaNdio kwani siri,hahaha [emoji23]
Hakuna kitu kinatia fedheha humu Jf kama kutangazwa aiseeeee, kuna jamaa wengi huwa wanazikimbia ID zao....tehteehhhUnaogopa kutangazwa?
Mara moja moja ujibu maana wengine hata wakiquotiwa na mrembo humu,wanapiga screenshot..inakuwa kama vile wamekutana na kim kardashian.Mbili au tatu tena kwa watu ninaochat nao pm mara kwa mara au tunaquotiana humu naelewa akili zao zilivyo. Wengine hata kujibu sijibu napita kama sioni
Hahaha ,kweli asee inakua noma sanaHakuna kitu kinatia fedheha humu Jf kama kutangazwa aiseeeee, kuna jamaa wengi huwa wanazikimbia ID zao....tehteehhh