sabosabo
JF-Expert Member
- Dec 16, 2012
- 2,050
- 5,066
Wakati mwingine watu wanaandika humu kuzingua tu,unakuta ni mtu tofauti kabisa na jinsi alivyo in real life!Uko sahihi kabisaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakati mwingine watu wanaandika humu kuzingua tu,unakuta ni mtu tofauti kabisa na jinsi alivyo in real life!Uko sahihi kabisaa.
Kukosea ndio kujifunza mkuu...Ushanitonya,umenipa darasa tosha ,sirudii nimekoma
Kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tunachangamsha genge. Uongo ukweli utani humo humoWakati mwingine watu wanaandika humu kuzingua tu,unakuta ni mtu tofauti kabisa na jinsi alivyo in real life!
Mkuu miaka nilionayo humu Jf nimejifunza mambo mengi sana hakiUko sahihi kabisaa.
HahahaUko sahihi kabisaa.
Ndio hivyo Mkuu!Kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Tunachangamsha genge. Uongo ukweli utani humo humo
Wanataka uandike watakavyo ,hahaha ,nimegundua kituWakati mwingine watu wanaandika humu kuzingua tu,unakuta ni mtu tofauti kabisa na jinsi alivyo in real life!
Hahaha ,mkuu nimegundua kituKukosea ndio kujifunza mkuu...
Wanaosemaga hivyo wanafkiii ndo wanashindaga pm za wanawake. Kuna mjinga mmoja anasemaga hajawahi kumtongoza mwanamke pm wakati anatongoza na anakataliwa na hapati nafasi hata ya urafiki. Tunawachoraga tu huku wakianza kujimaliza ooh siendi pm kwa wadada mara sijawahi konyo konyo.Nashkuru Mungu, sijawahi kutongoza wala kuonana na mwanamke yeyote wa Jf..... tehteehhh
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
We km Mimi,nimejifunza mengi na nimeona mengi ,kwa umri Wangu wa humu ,acha tuMkuu miaka nilionayo humu Jf nimejifunza mambo mengi sana haki
Kula darasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka huu uzi utakapofikia tamati ntakua nimekwiva kabisa tayari kwa kuanza kuzama pm
Hahaha,jiandae ntaanza na wewe!Kula darasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dj kwanini utuite kituko dada zako?Kati ya ulio wataja hapo mkuu anajifanya yuko juu ila ni kituko [emoji23] [emoji23] aibu hata kutembea nae barabarani.
Jifanye mjanja nifungue faili lako[emoji23][emoji23][emoji23]
Siwezi bby siweziiiJifanye mjanja nifungue faili lako
Hapo ndio unakuja sawa mkuu, weanza kuvaa sura mbuzi kama mimi.... tehteehhhHahaha ,mkuu nimegundua kitu
Mimi ndo unifanye pilot eeeh?? [emoji23][emoji23]Hahaha,jiandae ntaanza na wewe!
Najua ulinitosa kule PM[emoji13] [emoji13] lakini usintangaze...[emoji85] [emoji85]Wanaosemaga hivyo wanafkiii ndo wanashindaga pm za wanawake. Kuna mjinga mmoja anasemaga hajawahi kumtongoza mwanamke pm wakati anatongoza na anakataliwa na hapati nafasi hata ya urafiki. Tunawachoraga tu huku wakianza kujimaliza ooh siendi pm kwa wadada mara sijawahi konyo konyo.
Najua umeandika kiutani ila wapo wanaosemaga hivyo
Hujawahi kuja muone vile [emoji23][emoji23]Najua ulinitosa kule PM[emoji13] [emoji13] lakini usintangaze...[emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]