Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Mtaka cha uvunguni sharti ainame! 😛Atume Kwanza 100,000. Dawa itakuwa shilingi ngapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtaka cha uvunguni sharti ainame! 😛Atume Kwanza 100,000. Dawa itakuwa shilingi ngapi?
Mademu 20? Ngoma itakuacha salama kweli?Daby
1.Jitahidi uwe na vihela hela kidogo vya kuwahonga.
2.Usimwambie mwanamke ukweli, Kwa sababu wanaamini uongo zaidi kuliko ukweli. Ukimwambia mwanamke ukweli anakukataa, ila ukisema uongo anakubali.
3.Usimpe mwanamke moyo wako(usimpe upendo wote wa kweli atakufanya zuzu).
4.Tongoza wasichana/wanawake wengi hata 10 au 20, Ili mmoja akitaka kukupanda kichwani, unamshiit na unaenda kwa hao wengine 8 au 19 waliobaki.
HaujaongopaIla unatakiwa ujue kuwa anayekuzungusha wewe muda mrefu mwingine anapewa ndani ya saa moja na yule yule aliyekuzungusha
Vituko mwavianza nyie na maharage yenu.niacheni nichek kuna vituko humu
Inaonesha hujui nani wa kumfuata! Maharage ya Mbeya ni kama kritika , Mambembe , Demiss , Fake P etc. Wewe uparamie kipenzi changu Shunie au Mzigua90 au Sky Eclat au mahondaw utapata taabuwakuu kwema....
Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje!
tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?
Wengi pm wamefunga kabisa... ukisema uqoute jukwaani unaweza kujibiwa vibaya ukaabika mbele ya wadogo zako.
tupeane uzoefu mafundi. nawaaminia.
Kwa imani yote yanawezekana mkuu [emoji23]ushaanza kuniibia wewe
Kumbe tunaongea ukweli wetu mnatuona vituko? Dah asee ,ngoja nigonge primus tu ,Nibaki kusoma maoniniacheni nichek kuna vituko humu
Niombee kwanza hapa kama atanikubalihata upstairs yuko vizuri we siunaona maandishi komaa wasije muwahi
mi sikubali mkuuuu..unahangaikia kitu ambacho wewe sio wa kwanza kuanza?? mi bwana hyo dawa ikipatikana naomba niambiwe tu maana sina Jinsi.Sipendi ' Kusaidiwa ' kiuwepesi hivyo Mkuu. Halafu katika Historia yangu ya ' Kungonoka ' huwa sipendi Mwanamke asiyenisumbua katika kunipa ' Mbunye ' yake na nikikutana na Mwanamke Maharage ya Mbeya huwa namdharau / nawadharau sana tu. Hakuna raha utamu kama Kula nyama uliyoihangaikia kwa muda mrefu Mkuu.
Hahahaha, [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mzee wa fursa
Kati ya ulio wataja hapo mkuu anajifanya yuko juu ila ni kituko [emoji23] [emoji23] aibu hata kutembea nae barabarani.
mzeee upo kwenye mtego ukienda kchwa kchwa hyo njia uloelekezwa utarudi na manundu ina mmbwa wakali na Kk security kla geti..mtoa ushauri kakuingiza mkenge.Afadhali umeniachia kapeace wangu
we jamaa umemaliza yani huuu ndio UKWELI na hamna ukweli zaidi ya huuu.Mnatakiwa mjue mwanamke anatongozwa mno anakataaa sana lkn ktk kutongozwa huko anakufikia wewe nyege zushamjaa balaa yani unaweza kumtania tu nakutaka sasa hivi nikakumange unapewa gemu palepale lkn akitoka kwako umemmalizia nyege atakaokutana nao wataambulia matusi kupita kawaida ukadhani ni mgumu saaaana au ni mrahisi saaaana
Mwanamke akifikiwa kabanwa na nyege hata kichaa wa jararani anapewa kitumbua cheza na nyege wewe
Mmmh ulijuaje?Mnatakiwa mjue mwanamke anatongozwa mno anakataaa sana lkn ktk kutongozwa huko anakufikia wewe nyege zushamjaa balaa yani unaweza kumtania tu nakutaka sasa hivi nikakumange unapewa gemu palepale lkn akitoka kwako umemmalizia nyege atakaokutana nao wataambulia matusi kupita kawaida ukadhani ni mgumu saaaana au ni mrahisi saaaana
Mwanamke akifikiwa kabanwa na nyege hata kichaa wa jararani anapewa kitumbua cheza na nyege wewe
Kwa wasomaji wa maandishi watayaona maandishi.wakuu kwema....
Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje!
tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?
Wengi pm wamefunga kabisa... ukisema uqoute jukwaani unaweza kujibiwa vibaya ukaabika mbele ya wadogo zako.
tupeane uzoefu mafundi. nawaaminia.