Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Duhhh....[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mkuu, naona umeamua kunichana laivu aiseeeee, maana nilisha zama piem kama 70's na mwisho wa siku nachomolewa za mbavuni, basi nabaki humu na fully aibu wallah....[emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha izo mkuu...

Unajua kutongoza tunatongoza ila tatizo ni kujifanya watakatifu..... Na kujaribu kuwatupia ilo zigo watu fulan !! .

Msema kweli ni gazeti ..hiv lilifungiwaga au lipo??
 
Hahaha mkuu mie nilizama moja nikala cha mbavu kitakatifu hadi Leo sina hamu
 
Mkuu, ebu punguza michambo... mwishowe utashika mavi bureee... tehteehhh[emoji12] [emoji12] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Hawa mamaz/dadaz wa humu ili uwapate.... Inahitaji kwanza umzidi akili aiseeeee.....
Ukiona hivyo ujue alikuona boya, baada ya kupitia threads na comments zako kuna sehem uli mess-up[emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12]
 
Hahaha mkuuu maisha bila vitu km hiv hayaendi ,kucheka lazima..

Poa mkuu
 
Wenzio kabla ya kutongoza, ukienda pm tu, mwambie nataka kukutoa out leo, hapo lazima atoe namba na ukipewa namba tu, chap unapiga kitu cha imethibitishwa, then unaomba meeting, baada ya hapo hakuna kutongoza ni kuzima taa tu
 
Hawa mamaz/dadaz wa humu ili uwapate.... Inahitaji kwanza umzidi akili aiseeeee.....
Ukiona hivyo ujue alikuona boya, baada ya kupitia threads na comments zako kuna sehem uli mess-up[emoji13] [emoji13] [emoji12] [emoji12]
Asee kumbe ndio inavyokua?aargh basi sawa,acha tuwaachie wakali wa threads na comments wawachukue
 
Kwani ni kupewa au kupeana ? ukishajua kwamba hii ni starehe basi hautashangaa hata si tu mtu kukubali haraka haraka bali kukuanza ukiona hauvutii badilisha font au mwandiko
 
Wenzio kabla ya kutongoza, ukienda pm tu, mwambie nataka kukutoa out leo, hapo lazima atoe namba na ukipewa namba tu, chap unapiga kitu cha imethibitishwa, then unaomba meeting, baada ya hapo hakuna kutongoza ni kuzima taa tu
Namna hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…