Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Nashkuru Mungu, sijawahi kutongoza wala kuonana na mwanamke yeyote wa Jf..... tehteehhh
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wanaosemaga hivyo wanafkiii ndo wanashindaga pm za wanawake. Kuna mjinga mmoja anasemaga hajawahi kumtongoza mwanamke pm wakati anatongoza na anakataliwa na hapati nafasi hata ya urafiki. Tunawachoraga tu huku wakianza kujimaliza ooh siendi pm kwa wadada mara sijawahi konyo konyo.

Najua umeandika kiutani ila wapo wanaosemaga hivyo
 
Najua ulinitosa kule PM[emoji13] [emoji13] lakini usintangaze...[emoji85] [emoji85]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…