hahahaMi nimewatafuna wengi tu ikiwemo wake za watu na wanachuo bila kusahau wafanyakazi wa mitandao ya simu na bank
Ila kipindi hicho nilikuwa natumia ID nyingine ila nimejaribu kama mara mbili hivi kutongoza kupitia PM kwa hii ID wanaishia kuzingua kisa wamegundua mimi muuza majeneza
sasa tunaosema kweli si mtuonee huruma... au hadi tulie kama nilivyoshauriwaWanaosemaga hivyo wanafkiii ndo wanashindaga pm za wanawake. Kuna mjinga mmoja anasemaga hajawahi kumtongoza mwanamke pm wakati anatongoza na anakataliwa na hapati nafasi hata ya urafiki. Tunawachoraga tu huku wakianza kujimaliza ooh siendi pm kwa wadada mara sijawahi konyo konyo.
Najua umeandika kiutani ila wapo wanaosemaga hivyo
Ukiona hujaonewa huruma hujapendwa Dabysasa tunaosema kweli si mtuonee huruma... au hadi tulie kama nilivyoshauriwa
vipi kwani kuna mtu kaibiwa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha izo mkuu...
Unajua kutongoza tunatongoza ila tatizo ni kujifanya watakatifu..... Na kujaribu kuwatupia ilo zigo watu fulan !! .
Msema kweli ni gazeti ..hiv lilifungiwaga au lipo??
Utani baby hujaona emojiDj kwanini utuite kituko dada zako?
Kama hivyo sawaUtani baby hujaona emoji
Hahaha, kwani wadada vituko humu?Dj kwanini utuite kituko dada zako?
HahahaHahahahahaaa. Huyo namzingua
Nimeshangaa. Ila kasema kataniaHahaha, kwani wadada vituko humu?