Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Mi nimewatafuna wengi tu ikiwemo wake za watu na wanachuo bila kusahau wafanyakazi wa mitandao ya simu na bank
Ila kipindi hicho nilikuwa natumia ID nyingine ila nimejaribu kama mara mbili hivi kutongoza kupitia PM kwa hii ID wanaishia kuzingua kisa wamegundua mimi muuza majeneza
hahaha
 
Wanaosemaga hivyo wanafkiii ndo wanashindaga pm za wanawake. Kuna mjinga mmoja anasemaga hajawahi kumtongoza mwanamke pm wakati anatongoza na anakataliwa na hapati nafasi hata ya urafiki. Tunawachoraga tu huku wakianza kujimaliza ooh siendi pm kwa wadada mara sijawahi konyo konyo.

Najua umeandika kiutani ila wapo wanaosemaga hivyo
sasa tunaosema kweli si mtuonee huruma... au hadi tulie kama nilivyoshauriwa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha izo mkuu...

Unajua kutongoza tunatongoza ila tatizo ni kujifanya watakatifu..... Na kujaribu kuwatupia ilo zigo watu fulan !! .

Msema kweli ni gazeti ..hiv lilifungiwaga au lipo??
vipi kwani kuna mtu kaibiwa?
 
Sometimes don't hunts what you can't kill. Mimi nilikua natongoza wanawake ambao si level zangu kati ya 20 naweza pata mmoja but once nilianza hawa level zangu sioni shida tena.
 
Mmoja tulichat akaja kazini nikampeleka home tukawa tunapiga story sasa nikawa nimesahau album kizembe akaipekua lol!
Nikaachwa na minyege yangu
 
Sometimes don't hunts what you can't kill. Mimi nilikua natongoza wanawake ambao si level zangu kati ya 20 naweza pata mmoja but once nilianza hawa level zangu sioni shida tena.
kwa hiyo nacheza ligi isiyo yangu eewh
 
Back
Top Bottom