Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

we jamaa umemaliza yani huuu ndio UKWELI na hamna ukweli zaidi ya huuu.

Fix za kuskia et nataka mrefu sjui ana six pack sjui ana Gari kiboko yao NYeig.....eeeeeee
Ukijua kuwavizia hapa yaani utawalamba kibao
 
Sio Inna.

Mtoto mmoja nilimuanza kama utani tu. Kumbe bikra.

Mwingine aliniuzia jiko la gesi , nilikuwa namnunulia kimada . mwisho wa siku akatoa na papuchi.

Usiende pm kwa ajili ya kutongoza.
Unaenda kwa mengine.
Au jifsnye unatoa ushauri
Ndio zako kumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…