Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,170
Toka uzaliwe kutembea na wanawake 20 mbona ndogo sanaa!!.. Ila kunambia kuwa na uhusiano na wanawake 20 kwa wakati mmoja nitakubishia, lazima uchanganyikiwe!.Kama kuna rafiki yako wa kiume anayekuamini, Muulize hivi, "Tangu amebalehe mpaka leo, Ameshaangua machenza na machungwa mangapi?!!
20 ni wadogo sana kwa dume, Umeme unauogopa sana ehe!?