Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha hilo jinga [emoji23][emoji23][emoji23]Na utazuga umewapata hadi wengine huwataki kama jinga moja hivi
Dah mi hata sijui bana. Nadhani watakupa majibu wenyewetatizo sio hilo... tatizo kwenye comments mbona wapo wanaosema eti wa humu maharage ya mbeya.
sasa nachojiuliza huo umaharage unachagua na mwanamme?
witnessj unashangaa dume kuwa mademu 20 tu?Mademu 20? Ngoma itakuacha salama kweli?
Kama kuna rafiki yako wa kiume anayekuamini, Muulize hivi, "Tangu amebalehe mpaka leo, Ameshaangua machenza na machungwa mangapi?!!Mademu 20? Ngoma itakuacha salama kweli?
We huogopi?Kama kuna rafiki yako wa kiume anayekuamini, Muulize hivi, "Tangu amebalehe mpaka leo, Ameshaangua machenza na machungwa mangapi?!!
20 ni wadogo sana kwa dume, Umeme unauogopa sana ehe!?
Nami navyopenda sasa wala wasme tuhadi nimeon aibu... eti mnafanywaje fanywaje?
ila si ndiyo sifa ya mwanamke... usipofanywa hivyo nani afanywe
Mekutumia tayarinaomba namba ya tigoPesa yako kuna kafungu hapa tugawane
ss huyo anapenda mwanaume wa aina gani maana naona kila mwanaume yeye hamuelewi...kila siku anatuponda, si ajabu huko alipo anawaza aje kutusema na nn weekend hii!unafkr akiwa na mwanaume aliempenda atakuwa na mijineo na mithread yake,najua wanaume kelele stress hampendi ila mtuvumilie jamani kuongea tunapata relief sisi si kama nyie mna koromelo
msome vizuri umuelewe haswaa...maana usije ukaanza kutusumbua humu kuomba ushauri baadaehahaha... kritika wacha nikamsome nimjue jue
SIOGOPIWe huogopi?
amekuja kunitonya na jina lako tu...kumbe ww ndio "subject" mwenyewe, nakuvua ujumbe kuanzia ss.Mimi mjumbe, sifai kujadiliwa....
T&Cs haziruhusu...
Fanya umtonye hata Mr Miller kama wanionea aibu
Usicheke bana, mtumie PM huyo laiboni!..[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Labda nyota yake huenda ikang'aa zaidi na ikaufunika utusi tusi wa kritika ila sisi hatumo.msome vizuri umuelewe haswaa...maana usije ukaanza kutusumbua humu kuomba ushauri baadae
hapo kwenye kuongea ndo wengi tunafeli,mimi bora uwe karibu yataisha uwe mbali simu hupokei msg hujibu naweza kukutumia virus wakumezess huyo anapenda mwanaume wa aina gani maana naona kila mwanaume yeye hamuelewi...kila siku anatuponda, si ajabu huko alipo anawaza aje kutusema na nn weekend hii!
kwakweli hatupendi basi tu tunawavumilia.
Hanitaki [emoji21][emoji21]Usicheke bana, mtumie PM huyo laiboni!..