Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Ukiwakubalia wanakuja kukuponda ukikataa ndo kama hivi mnalalamika. Tufanyaje?
tatizo sio hilo... tatizo kwenye comments mbona wapo wanaosema eti wa humu maharage ya mbeya.

sasa nachojiuliza huo umaharage unachagua na mwanamme?
 
unafkr akiwa na mwanaume aliempenda atakuwa na mijineo na mithread yake,najua wanaume kelele stress hampendi ila mtuvumilie jamani kuongea tunapata relief sisi si kama nyie mna koromelo
ss huyo anapenda mwanaume wa aina gani maana naona kila mwanaume yeye hamuelewi...kila siku anatuponda, si ajabu huko alipo anawaza aje kutusema na nn weekend hii!

kwakweli hatupendi basi tu tunawavumilia.
 
Mimi mjumbe, sifai kujadiliwa....
T&Cs haziruhusu...
Fanya umtonye hata Mr Miller kama wanionea aibu
amekuja kunitonya na jina lako tu...kumbe ww ndio "subject" mwenyewe, nakuvua ujumbe kuanzia ss.
 
ss huyo anapenda mwanaume wa aina gani maana naona kila mwanaume yeye hamuelewi...kila siku anatuponda, si ajabu huko alipo anawaza aje kutusema na nn weekend hii!

kwakweli hatupendi basi tu tunawavumilia.
hapo kwenye kuongea ndo wengi tunafeli,mimi bora uwe karibu yataisha uwe mbali simu hupokei msg hujibu naweza kukutumia virus wakumeze
 
Back
Top Bottom