Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

wakuu kwema....

Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje!

tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?

Wengi pm wamefunga kabisa... ukisema uqoute jukwaani unaweza kujibiwa vibaya ukaabika mbele ya wadogo zako.

tupeane uzoefu mafundi. nawaaminia.
🙂🙂
 
Siyo kuwa na wanawake 20 kwa wakati mmoja, Isipokuwa ni wanawake 10-20 kwa mwezi, Mnamalizana kila mmoja anakula 50 zake. Sikai na jike, Namaliza yangu na kazi inaishia hapo hapo.
Hao watakuwa Barmaids tu hakuna kingine hapo ndo unaweza kuwabadilisha kila siku
 
Back
Top Bottom