jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
h
ahhahhahah kwani maharage hasaidiihuyo sio maharage bali kakusaidia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahhahhahah kwani maharage hasaidiihuyo sio maharage bali kakusaidia.
🙂🙂wakuu kwema....
Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje!
tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?
Wengi pm wamefunga kabisa... ukisema uqoute jukwaani unaweza kujibiwa vibaya ukaabika mbele ya wadogo zako.
tupeane uzoefu mafundi. nawaaminia.
Hao watakuwa Barmaids tu hakuna kingine hapo ndo unaweza kuwabadilisha kila sikuSiyo kuwa na wanawake 20 kwa wakati mmoja, Isipokuwa ni wanawake 10-20 kwa mwezi, Mnamalizana kila mmoja anakula 50 zake. Sikai na jike, Namaliza yangu na kazi inaishia hapo hapo.
maisha tu shem, kuna ishu nilikuwa nafanyaunijificha saana! kulikoni
haya nasubiri hizo mbinu ili na mimi niwe marahage ya mbeyahaya maisha mnayasingizia. pole lakini kwa ulikuwa unafanya.
haya turudi kwa mada.
haya shem asantewewe bakia hivyo hivyo watu wa humu sio wazuri.
likewise my lovely shem, hope uko poa sanapoa wakati mwema.
all glory to God Himselfthanks niko poa kabisa... hakuna matata.