Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

Kama kuna rafiki yako wa kiume anayekuamini, Muulize hivi, "Tangu amebalehe mpaka leo, Ameshaangua machenza na machungwa mangapi?!!

20 ni wadogo sana kwa dume, Umeme unauogopa sana ehe!?
Toka uzaliwe kutembea na wanawake 20 mbona ndogo sanaa!!.. Ila kunambia kuwa na uhusiano na wanawake 20 kwa wakati mmoja nitakubishia, lazima uchanganyikiwe!.
 
Toka uzaliwe kutembea na wanawake 20 mbona ndogo sanaa!!.. Ila kunambia kuwa na uhusiano na wanawake 20 kwa wakati mmoja nitakubishia, lazima uchanganyikiwe!.
Siyo kuwa na wanawake 20 kwa wakati mmoja, Isipokuwa ni wanawake 10-20 kwa mwezi, Mnamalizana kila mmoja anakula 50 zake. Sikai na jike, Namaliza yangu na kazi inaishia hapo hapo.
 
Siyo kuwa na wanawake 20 kwa wakati mmoja, Isipokuwa ni wanawake 10-20 kwa mwezi, Mnamalizana kila mmoja anakula 50 zake. Sikai na jike, Namaliza yangu na kazi inaishia hapo hapo.
aahh hongera yenu wazee wa 10 kwa mwezi!. sms niliyopata inabidi nikae upande wa daby tu! jamani wanaume wenzetu msiwe malaya!! [emoji23]πŸ˜€
 
aahh hongera yenu wazee wa 10 kwa mwezi!. sms niliyopata inabidi nikae upande wa daby tu! jamani wanaume wenzetu msiwe malaya!! [emoji23]πŸ˜€
Wengine ukigoma kuwashughulikia wanakuita hanithi. Sikuwapa show mabinti wanne wakaniita hanithi.
Palantir Ukiitwa hanithi wakati msheba anapanda mtungini utajisikiaje?!!
 
hapo kwenye kuongea ndo wengi tunafeli,mimi bora uwe karibu yataisha uwe mbali simu hupokei msg hujibu naweza kukutumia virus wakumeze
hahaha [emoji23][emoji23][emoji23]
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ umenifanyaaa nichekeee sanaaaaa. Na hichoo kibwagizo. KAMA JINGA MOJA HIVI

.

tusiishi maisha ya kuigiza kama jinga moja hivi

Nadhani ujumbe kaupataπŸ˜€
 
Sio Inna.

Mtoto mmoja nilimuanza kama utani tu. Kumbe bikra.

Mwingine aliniuzia jiko la gesi , nilikuwa namnunulia kimada . mwisho wa siku akatoa na papuchi.

Usiende pm kwa ajili ya kutongoza.
Unaenda kwa mengine.
Au jifsnye unatoa ushauri
Hili jina sip geni sana humu. Ngoja na mimi. Nitumie ilani ya rasi simba... Kwa Inna
 
Hii ni sahihi kabisa, Kuna haja ya kuboresha mbinu za mitongozo, ukienda inbox, ukipata bahati labda utajibiwa PM mbili then hola!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…