Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

daby hakuna mkate mgumu mbele ya chai kaka hata hao wanaosema maharage wanapigwa za chembe sana tuu wanawake na pochi ni malaria na homa...
 
Wengine ukigoma kuwashughulikia wanakuita hanithi. Sikuwapa show mabinti wanne wakaniita hanithi.
Palantir Ukiitwa hanithi wakati msheba anapanda mtungini utajisikiaje?!!
bora kugoma mkuu kuna mmoja alikuja geto na nilikuwa na typhoid homa nje nje nikaona nijikaze nimgegede asije chukia nikakomaa cha kwanza safi cha pili hali ikawa mbaya bana nikamwambia hili simalizi tuishie hapa. doh hayo mavichambo sasa lol una mwanamke ww si bure yani nimetoroka nyumbani hadi hapa umekuja nipaka shah#wa.. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna wanaume washamba na wasiojua lolote kuhusu mapenzi kama wa hapa jf...ni wanaume wa ovyo sana
Mkuu, Umewahi kutusifia mara mbili tu, Unataka mpenzi wa aina gani lakini?

Wanaume walikukosea nini lakini?

Haujawahi kumpata dume mwenye ahueni?

Tufanyeje ili tusiwe washamba kwako? kritika
 
hahahah hakuna thambi mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…