Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

🙂🙂
 
Siyo kuwa na wanawake 20 kwa wakati mmoja, Isipokuwa ni wanawake 10-20 kwa mwezi, Mnamalizana kila mmoja anakula 50 zake. Sikai na jike, Namaliza yangu na kazi inaishia hapo hapo.
Hao watakuwa Barmaids tu hakuna kingine hapo ndo unaweza kuwabadilisha kila siku
 
haya maisha mnayasingizia. pole lakini kwa ulikuwa unafanya.

haya turudi kwa mada.
haya nasubiri hizo mbinu ili na mimi niwe marahage ya mbeya

teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…