Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

mimi ninae my good man na anachit na nyie nawaangalia tu majuzi kati kachit chat nawe nimecheka hatari ,ha ha ha ha ha ukimuweka hadharani kuharibiana tu ila wakuwekwa hadharani kuzugia tu,
 
tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?
Kwahiyo unataka upewe mbinu ili ufanikiwe kufanya ZINAA?? Mkuu Daby ikimbie ZINAA, kila dhambi afanyayo Mwanadamu ni nje ya mwili wake, lakini yeye afanyaye zinaa anatenda dhambi ndani ya mwili wake. Mwili wako ni "hekalu" la Roho wa MUNGU, kila aliharibuye "hekalu" hili na yeye ataharibiwa pia.

Mwenye masikio na asikie!
 
Pamoja kabisa...nilijua yananitokeaga Mimi tu....[emoji5][emoji5]
 
mimi ninae my good man na anachit na nyie nawaangalia tu majuzi kati kachit chat nawe nimecheka hatari ,ha ha ha ha ha ukimuweka hadharani kuharibiana tu ila wakuwekwa hadharani kuzugia tu,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Dada mbaya wewe. Kwahiyo ukaniacha nichit chat na shemeji hata kunishtua jamani. Sasa wengine wanaweza mchukia mtu akiona hivyo ila mtu muelewa unaona aaah waache wachangamshe jukwaa tu. Hadharani unazuga ila wa ukweli hutaki hata akuquote watu wasimuone
 
mimi ninae my good man na anachit na nyie nawaangalia tu majuzi kati kachit chat nawe nimecheka hatari ,ha ha ha ha ha ukimuweka hadharani kuharibiana tu ila wakuwekwa hadharani kuzugia tu,
unakula kimya kimya sio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…