Acha hizo....uje kwa Mara ya pili? Embu tembelea nyingine, ujue idadi yetu kubwa...kuwazidi...huwezi kukosa wa kukuponyesha hicho kikohozi.[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]haha... smart ananiambia eti kama mwanamke anakuelewa hata ukikohoa anakuambia amekukubali.
wacha leo nije nikohoe kwenye pm yako.
Mmh usiogope funguka tu.hahaha hamna bana ila kweli lkn naogopa kusema
akaa nafikiri watakuwa wameshafika pm loo,ila napitia mitongozo ya pm nacheka sana kuna watu wana mitongozo ya kizee ha ha ha ha ha ha[emoji23] [emoji23] waunganishe watajuana wenyewe huko mbele kwa mbele
mkuu nataka akinikubali utaratibu mwingine uendelee.Kwahiyo unataka upewe mbinu ili ufanikiwe kufanya ZINAA?? Mkuu Daby ikimbie ZINAA, kila dhambi afanyayo Mwanadamu ni nje ya mwili wake, lakini yeye afanyaye zinaa anatenda dhambi ndani ya mwili wake. Mwili wako ni "hekalu" la Roho wa MUNGU, kila aliharibuye "hekalu" hili na yeye ataharibiwa pia.
Mwenye masikio na asikie!
Pamoja sanahaya nimeacha.
Hahaha haijalishi lakin kama inampatia hitaji lake...hyo hyo akikutana na mwanamke alieko desperate kama yule g wa jana hata atongozwe kibabu anaingia kingi tu[emoji23] [emoji23]akaa nafikiri watakuwa wameshafika pm loo,ila napitia mitongozo ya pm nacheka sana kuna watu wana mitongozo ya kizee ha ha ha ha ha ha
eti ukiwa msiri?siyo msiri tu na pesa muamala usome,siyo kusumbuana pm muamala hakuna mkiambia laki 2 unakimbia
Uzee tayari halafu uzoefu tatizo hahahahapls sasa kama tushazeeka tifanyeje?
ndiyo tunataka mtufundishe ya ujana
Asee sie haoakaa nafikiri watakuwa wameshafika pm loo,ila napitia mitongozo ya pm nacheka sana kuna watu wana mitongozo ya kizee ha ha ha ha ha ha
Mleta Mada tuko pamoja ktk hili ,mie nishapigwa vya mbavu mpk najionea hurumawakuu kwema....
Naomba kuuliza tu... hawa wanawake kila siku mnasema maharage ya mbeya nyie mnawapataje!
tupeni mbinu wenzenu tumechoka kupigwa vya mbavu. au utongozaji unanipoza sijui kutongoza?
Wengi pm wamefunga kabisa... ukisema uqoute jukwaani unaweza kujibiwa vibaya ukaabika mbele ya wadogo zako.
tupeane uzoefu mafundi. nawaaminia.
Ninongoneze Mimi Dada yako nikusaidieyaani unamchangamkia mtu... tena umevimba kweli... halafu anakujibu hayo mazoea unayotaka kuleta yaishie hapa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nilishamuomba mmoja alinishushua wiki mbili nikapotea jukwaani.
nikiingia naona aibu hata kucomment.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani unamchangamkia mtu... tena umevimba kweli... halafu anakujibu hayo mazoea unayotaka kuleta yaishie hapa.
no kama kuna post nataka aisome namtag ila mazoea jukwaani hakuna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Dada mbaya wewe. Kwahiyo ukaniacha nichit chat na shemeji hata kunishtua jamani. Sasa wengine wanaweza mchukia mtu akiona hivyo ila mtu muelewa unaona aaah waache wachangamshe jukwaa tu. Hadharani unazuga ila wa ukweli hutaki hata akuquote watu wasimuone
Na kishamba piaakaa nafikiri watakuwa wameshafika pm loo,ila napitia mitongozo ya pm nacheka sana kuna watu wana mitongozo ya kizee ha ha ha ha ha ha
Endelea, one day yesMleta Mada tuko pamoja ktk hili ,mie nishapigwa vya mbavu mpk najionea huruma
yaani wewe umencheksha sana siyo wewe banaAsee sie hao