Hivi wanaume mnaosema wanawake wa JF maharage ya mbeya nyie mnatumia dawa gani?

oouh... basi labda huyo mwingine wa pili ndiye mmojawapo anayetangaza humu wanawake wengi maharage ya mbeya.

nimesema huenda.
Hata huyo wa pili ana maneno mengi ila hajawahi sema wanawake maharage ya mbeya japo ana kijiji cha mboga zake humu. Na yeye tuliishia urafiki na ni rafiki angu bado hatukufika huko uzi niliweka kuchangamsha genge
 
Pole sana... hakuna mwanamke humu amabae ni harage la mbeya... idadi kubwa wanajielewa...

Sema chit chat zao ndiyo hupumbaza watu na kuwadhania ni wepesi...

Mwanamke akikupenda, hata ukohoa tu, atakujibu ombi lako limekubaliwa...

Cc: mahondaw

hihihi.... unasemea HARAGE lipi hilo smart wangu lakini...!!!???
 
Pole sana... hakuna mwanamke humu amabae ni harage la mbeya... idadi kubwa wanajielewa...

Sema chit chat zao ndiyo hupumbaza watu na kuwadhania ni wepesi...

Mwanamke akikupenda, hata ukohoa tu, atakujibu ombi lako limekubaliwa...

Cc: mahondaw
utanifanya nikakohoe pm mkuu
 
Hamna inakua changamsha genge tu.
wewe unasema changamsha genge ila amini asilimia 90 za uzi na wanaoitana bae,honey wanakulana wale wahuni ndo wanadai kuwa oo mahusiano yetu yasiharibu ushirika wetu jf,asilimia 90 ya wanaoandika na kuitana wapenzi humu wanakulana,mie nlikuwa namtania mmoja kuwa nitampindua wee demu akanjia pm,toka hapo nikasema naheshimu wanaoitana darling whatever we unasema utani kumbe wanakulana halafu unasababisha mtu apate ugonjwa wa moyo anajenga chuki,
 
Hata huyo wa pili ana maneno mengi ila hajawahi sema wanawake maharage ya mbeya japo ana kijiji cha mboga zake humu. Na yeye tuliishia urafiki na ni rafiki angu bado hatukufika huko uzi niliweka kuchangamsha genge
Ooouh.
 
Back
Top Bottom