Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe hiyo bahati sina mkuu....yaani....labda tuna nyota ya bundiMchango wako wahitajika hapa...
Hata huyo wa pili ana maneno mengi ila hajawahi sema wanawake maharage ya mbeya japo ana kijiji cha mboga zake humu. Na yeye tuliishia urafiki na ni rafiki angu bado hatukufika huko uzi niliweka kuchangamsha gengeoouh... basi labda huyo mwingine wa pili ndiye mmojawapo anayetangaza humu wanawake wengi maharage ya mbeya.
nimesema huenda.
EeeehNi kweli changamsha genge ili maisha ya JF yaendelee
Hahahahahaammmh.
hata sifananii nayo... suti sizijui nishazoea shuka.
Hahahahahaaa.Na utazuga umewapata hadi wengine huwataki kama jinga moja hivi
HakikaPole sana... hakuna mwanamke humu amabae ni harage la mbeya... idadi kubwa wanajielewa...
Sema chit chat zao ndiyo hupumbaza watu na kuwadhania ni wepesi...
Mwanamke akikupenda, hata ukohoa tu, atakujibu ombi lako limekubaliwa...
Cc: mahondaw
Pole sana... hakuna mwanamke humu amabae ni harage la mbeya... idadi kubwa wanajielewa...
Sema chit chat zao ndiyo hupumbaza watu na kuwadhania ni wepesi...
Mwanamke akikupenda, hata ukohoa tu, atakujibu ombi lako limekubaliwa...
Cc: mahondaw
Pole sana... hakuna mwanamke humu amabae ni harage la mbeya... idadi kubwa wanajielewa...
Sema chit chat zao ndiyo hupumbaza watu na kuwadhania ni wepesi...
Mwanamke akikupenda, hata ukohoa tu, atakujibu ombi lako limekubaliwa...
Cc: mahondaw
Polee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nilishamuomba mmoja alinishushua wiki mbili nikapotea jukwaani.
nikiingia naona aibu hata kucomment.
Kama Mimi nini? Umeshaanza kuwa mzito hapo kwa mfuko wa meno?kama wewe kabisa... haya tu nyie endeleeni kunifanyia hivi.
teua wajumbe basi
@Daby mzoefu huyo sema anatuchora tuSasa na wewe mbona humpi mwenzio maujanja??
Mie mtanga wa Dar sina utamu wa ndugu zangu [emoji23][emoji23]yes.... nitarudi tu na nitakutafuta.
Sema itakua kule anapopata ndo hapati wale asowawaza kabisaa ndo wanamtaka@Daby mzoefu huyo sema anatuchora tu
wewe unasema changamsha genge ila amini asilimia 90 za uzi na wanaoitana bae,honey wanakulana wale wahuni ndo wanadai kuwa oo mahusiano yetu yasiharibu ushirika wetu jf,asilimia 90 ya wanaoandika na kuitana wapenzi humu wanakulana,mie nlikuwa namtania mmoja kuwa nitampindua wee demu akanjia pm,toka hapo nikasema naheshimu wanaoitana darling whatever we unasema utani kumbe wanakulana halafu unasababisha mtu apate ugonjwa wa moyo anajenga chuki,Hamna inakua changamsha genge tu.
huyo alitaka kick kupitia wewenilishamuomba mmoja alinishushua wiki mbili nikapotea jukwaani.
nikiingia naona aibu hata kucomment.
Hebu tumuulize kama hajawahi hata kupata humu?Sema itakua kule anapopata ndo hapati wale asowawaza kabisaa ndo wanamtaka