Samboko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2011
- 5,420
- 7,788
Hii tred yako imekimbia sanaa mkuu, had naona uvivu kuipekua yote,dawa ishatajwa ila haina dose bhana.... pitia pitia katikati utaiona.
Nimegee hapo dawa kidogo dozi ntajipangia mwenyewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii tred yako imekimbia sanaa mkuu, had naona uvivu kuipekua yote,dawa ishatajwa ila haina dose bhana.... pitia pitia katikati utaiona.
Mbona mimi hua sihurumiwi na wote wanasema mimi HBWanawake kinachowaponza sometimes ni huruma kubwa waliyopewa na Mungu.
Mwanaume akizuga kujiliza tu baasi kadada ka watu kanapanua miguu
😀😀
Hahahaaaaaaa,unafikiri kuna dawa basii... wanasema hatujui kutongoza na tuna mikato ya kizee.
Hapa sasa inategemeana na upepo wa mtu..Mbona mimi hua sihurumiwi na wote wanasema mimi HB
Hahahaaaaa,wanawake aseeh.
wamenihuzunisha saana.
iambie kamati ikujadili wewe please ione kama nakufaa.
Mwenyekiti hajaipitisha hii...badokama ni hivyo haupo kwenye kamati sasa ili ujadiliwe vizuri
Dah!.. Labda wanakuona mzee kwa uelewa wangu hata wale madada wa kipindi hicho wamerudi na new ID kuonekana fresh!. Labda jaribu na wewe might work😀haha...mkuu dunia inasogea...
Kila rika na vumi zake.
sasa hivi ni wakati wa member wa 2017.
Kumbe mnatupimaga eeh? Vibaya hivyo jamaniWanawake kinachowaponza sometimes ni huruma kubwa waliyopewa na Mungu.
Mwanaume akizuga kujiliza tu baasi kadada ka watu kanapanua miguu
😀😀
ila kuna haja ya kamati kweli si tulipitishe wenyewe hili