Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

1. Sio kila mkiristo anamuogopa Mungu kama wewe unavyomuogopa.

2. My oppinion is irrelevant maana makubaliano waliyoyafanya sikuhusika, kama waliona ni sawa kuolewa na wasiowapenda then wakiteswa ni sawa tu.
Sawa basi wanaume wanaofanya hayo ndo wakubali kwamba wana makosa wasilazimishe kujiona wako sawa eti kwa sababu tu wao ni wanaume
 
Na yeye anafanya vile imtakavyo kufanya kwa nafasi yake lakini asipofanya haikuzuii wewe kutekekeza kwa upande wako
Sawa hata mimi nisipofanya pia haimzuii na yeye kufanya kwa nafasi yake?
 
Mlitoka kwenye ubavu wetu mnatakiwa muwe wanyenyekevu juu ya mwanaume
 
Ukija kwenye majukumu ni mbaya sana mwanamke kumlazimisha mwanaume akuoshee vyomba,akupigie deki,akufulie nguo nk bila kuwa na sababu ya msingi narudia bila kuwa na sababu ya msingi ....
 
Sawa basi wanaume wanaofanya hayo ndo wakubali kwamba wana makosa wasilazimishe kujiona wako sawa eti kwa sababu tu wao ni wanaume
Kihisia wako sawa! kama mtu hampendi mke wake na akapata mwingine anayempenda automatically manyanyaso lazima yatokee, maana wanasema mapenzi hushinda kila ki2( kila ki2 inamaanisha yanaweza vunja hata ndoa).
Love is the best weapon vilevile ni adui kama hayako upande wako. Kosa pekee ni kufanya maagano na mtu asiye sahihi.
 
Ukija kwenye majukumu ni mbaya sana mwanamke kumlazimisha mwanaume akuoshee vyomba,akupigie deki,akufulie nguo nk bila kuwa na sababu ya msingi narudia bila kuwa na sababu ya msingi ....
Sawa ila inakuwaje pale mnapotaka wanawake wawasaidie kutafuta pesa na kuhudumia familia?
 
Kihisia wako sawa! kama mtu hampendi mke wake na akapata mwingine anayempenda automatically manyanyaso lazima yatokee, maana wanasema mapenzi hushinda kila ki2( kila ki2 inamaanisha yanaweza vunja hata ndoa).
Love is the best weapon vilevile ni adui kama hayako upande wako. Kosa pekee ni kufanya maagano na mtu asiye sahihi.
Kama mnaelewa hilo sasa mbona hiyo hali ya mapenzi kuisha ikitokea kwa mwanamke kuacha kumpenda mumewe huwa mnatulaumu na kusema kuwa sisi ni wakatili?
 
Mimi ninahisi uwezo aliopewa mwanamke Ni mkubwa Sana kulinganisha na mwanaume. Mwanamke ndiye mwenye uwezo wa kuuhifadhi uhai wa binadamu kwa miezi 9 na pia kuutunza kwa miaka mingi zaidi. Mwanamke ni safe keeper wa jamii, mwanamke Ni chombo Cha manung'uniko ya dunia hii kwa nafasi Kama mke na Kama mama. Pepo ya dunia hii ipo kwenye miguu ya mwanamke

Huwa nasikitika nikiona mwanamke akijaribu kuwa Kama mwanaume ili ajihisi superior. MWANAMKE YOYOTE ANAYETAFUTA USAWA NA MWANAUME HUPOTEZA NGUVU YAKE KAMA MWANAMKE.
Unakosea sana. Huwezi kusema uwezo aliopewa mwanamke ni mkubwa kuliko mwanaume kwa sababu ameumbwa' kike' hivyo huna sababu ya kumsikitikia kwa maana wakati anaumbwa amepewa na uwezo wa kuyastahimili hayo unayoyaona ni magumu. Kila mtu ana size yake
 
Unadhani ni kwanini Mungu alimwambia mwanaume amtawale mwanamke baada ya kula tunda na siyo kabla ya kula tunda?
Nadhani ni kwa sababu alijua kabisa mwanamke ni kiumbe dhaifu sana yaani hata kujitawala tu mwenyewe hawezi, hivyo anahitaji kutawaliwa maisha yake yawe katika mstari mnyoofu.
 
Yepi hayo??
Swali la nyongeza: Je, mnataka wanawake tusifanye makosa ila wanaume mfanye makosa halafu wanawake tukae kimya tusiwaambie na wala tusiwafanye chochote au mnatakaje?
 
Back
Top Bottom