joshydama
JF-Expert Member
- May 10, 2016
- 4,623
- 5,039
I knew you could need more details since women never be satisfied.Yes if you wish, maana naona kama umenipunja maelezo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I knew you could need more details since women never be satisfied.Yes if you wish, maana naona kama umenipunja maelezo[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sawa basi wanaume wanaofanya hayo ndo wakubali kwamba wana makosa wasilazimishe kujiona wako sawa eti kwa sababu tu wao ni wanaume1. Sio kila mkiristo anamuogopa Mungu kama wewe unavyomuogopa.
2. My oppinion is irrelevant maana makubaliano waliyoyafanya sikuhusika, kama waliona ni sawa kuolewa na wasiowapenda then wakiteswa ni sawa tu.
Kihisia wako sawa! kama mtu hampendi mke wake na akapata mwingine anayempenda automatically manyanyaso lazima yatokee, maana wanasema mapenzi hushinda kila ki2( kila ki2 inamaanisha yanaweza vunja hata ndoa).Sawa basi wanaume wanaofanya hayo ndo wakubali kwamba wana makosa wasilazimishe kujiona wako sawa eti kwa sababu tu wao ni wanaume
Sawa ila inakuwaje pale mnapotaka wanawake wawasaidie kutafuta pesa na kuhudumia familia?Ukija kwenye majukumu ni mbaya sana mwanamke kumlazimisha mwanaume akuoshee vyomba,akupigie deki,akufulie nguo nk bila kuwa na sababu ya msingi narudia bila kuwa na sababu ya msingi ....
Kama mnaelewa hilo sasa mbona hiyo hali ya mapenzi kuisha ikitokea kwa mwanamke kuacha kumpenda mumewe huwa mnatulaumu na kusema kuwa sisi ni wakatili?Kihisia wako sawa! kama mtu hampendi mke wake na akapata mwingine anayempenda automatically manyanyaso lazima yatokee, maana wanasema mapenzi hushinda kila ki2( kila ki2 inamaanisha yanaweza vunja hata ndoa).
Love is the best weapon vilevile ni adui kama hayako upande wako. Kosa pekee ni kufanya maagano na mtu asiye sahihi.
SawaSawa hata mimi nisipofanya pia haimzuii na yeye kufanya kwa nafasi yake?
Unakosea sana. Huwezi kusema uwezo aliopewa mwanamke ni mkubwa kuliko mwanaume kwa sababu ameumbwa' kike' hivyo huna sababu ya kumsikitikia kwa maana wakati anaumbwa amepewa na uwezo wa kuyastahimili hayo unayoyaona ni magumu. Kila mtu ana size yakeMimi ninahisi uwezo aliopewa mwanamke Ni mkubwa Sana kulinganisha na mwanaume. Mwanamke ndiye mwenye uwezo wa kuuhifadhi uhai wa binadamu kwa miezi 9 na pia kuutunza kwa miaka mingi zaidi. Mwanamke ni safe keeper wa jamii, mwanamke Ni chombo Cha manung'uniko ya dunia hii kwa nafasi Kama mke na Kama mama. Pepo ya dunia hii ipo kwenye miguu ya mwanamke
Huwa nasikitika nikiona mwanamke akijaribu kuwa Kama mwanaume ili ajihisi superior. MWANAMKE YOYOTE ANAYETAFUTA USAWA NA MWANAUME HUPOTEZA NGUVU YAKE KAMA MWANAMKE.
In all aspects of life.We don't get satisfied in which aspects?
Nadhani ni kwa sababu alijua kabisa mwanamke ni kiumbe dhaifu sana yaani hata kujitawala tu mwenyewe hawezi, hivyo anahitaji kutawaliwa maisha yake yawe katika mstari mnyoofu.Unadhani ni kwanini Mungu alimwambia mwanaume amtawale mwanamke baada ya kula tunda na siyo kabla ya kula tunda?
Swali la nyongeza: Je, mnataka wanawake tusifanye makosa ila wanaume mfanye makosa halafu wanawake tukae kimya tusiwaambie na wala tusiwafanye chochote au mnatakaje?Yepi hayo??