Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Kumbe umeolewa na babu, ndiyo maana hauishiwi maneno. Ungekuwa na kijana mwenzako usingekuwa na mapovu hivyo.
 
Unaona sasa?? Hii ni moja ya sababu kwanini hata mimi nasema JF wavulana wengi kuliko wanaume mna tatizo la kukariri maisha mfano hapo wewe umeshakariri kwamba mtu yeyote aliyejiunga tangu enzi za jambo forums ni mzee na mtu yeyote aliyejiunga hizi enzi za jamii forums ni kijana kweli kazi ipo!!

Halafu kwanini kila mkiambiwa ukweli hamnaga mengine ya kusema zaidi ya kusema tuna mapovu?? Yaani tusiseme ukweli eti kwa sababu tutaambiwa tuna mapovu no thank you and for your kind information this is just the beginning!!
Kumbe umeolewa na babu, ndiyo maana hauishiwi maneno. Ungekuwa na kijana mwenzako usingekuwa na mapovu hivyo.
 
Kariku tule ujana na under 40, mapovu utapunguza. Mambo huku yananoga.
 
Kwanza kabisa mimi siyo under 40 nina miaka 42 mume wangu ana miaka 46 alinioa nikiwa na miaka 22 na yeye akiwa na miaka 26 ndoa yetu ina miaka 20 sasa na tuna watoto 4 wa jinsia zote 2!!

Nimeona nikusaidie kukupa hints kuhusu mimi maana inaonekana unateseka sana kutaka kunijua ila unashindwa kuniuliza unabaki kuotea tu vitu ambavyo havipo kwa sababu umeshakariri maisha!!
Kariku tule ujana na under 40, mapovu utapunguza. Mambo huku yananoga.
 
Shikamoo mama...
 
Tunamaanisha kua wanawake mnapenda na mnatamani muwe juu ya wanaume, yani kama umeolewa uwe na power kuliko mume wako na kama upo kwenye mahusiano basi uwe na power kuliko mwenza wako, hatumaanishi kwamba msitende makosa wala sisi wanaume tutumie jinsia yetu kutenda makosa na kuleta excuse no, tunachomaanisha hapa ni kwamba wanawake wa sasa mpo against nature maana toka mwanzo Mungu ameumba mwanaume amuongoze mwanamke (Mwanaume ni kichwa cha familia) lakini ninyi now days mnataka muwe kichwa cha familia muwaongoze wanaume kitu ambacho ni impossible, kama huamini jiulize kwanini Yesu, Mitume, manabii wote hawakua wanawake?
 
Ndiyo maana maneno mengi sana mmeo ashachoka, hebu tafuta ka Serengeti boy humu kasuze roho yako maneno ya ubishi yatakuisha.
 
familia ambayo mnaijenga pamoja ni jukumu la mwanaume, na hapo hapo maendeleo ya nyumbani kwa mwanamke ni jukumu lako mwanaume.

mbaya zaidi hata kama utakuwa muwazi katika matumizi na akaona kabisa hadi shilingi ya mwisho imetumika bado ikitokea jambo jipya linaloweza hata kungoja bado utalaumiwa.

ni vigumu sana kuwa na usawa wakati mchango wako mdogo hasa pale inapobidi muishi kulingana na uchumi wenu ili kutimiza malengo makubwa na hali njema ya baadae
 
Just Keep struggling probably one day you gonna achieve what you advocate for.
 
Kuhusu swala la mwanamke kutaka kuwa juu ya mwanaume hata mimi sikubaliani nalo lakini hoja yangu ipo hapo kwenye wanaume kujihalalishia makosa ambayo wanawake wakiyafanya mnawaona wabaya
 
Sawa Mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…