Tunamaanisha kua wanawake mnapenda na mnatamani muwe juu ya wanaume, yani kama umeolewa uwe na power kuliko mume wako na kama upo kwenye mahusiano basi uwe na power kuliko mwenza wako, hatumaanishi kwamba msitende makosa wala sisi wanaume tutumie jinsia yetu kutenda makosa na kuleta excuse no, tunachomaanisha hapa ni kwamba wanawake wa sasa mpo against nature maana toka mwanzo Mungu ameumba mwanaume amuongoze mwanamke (Mwanaume ni kichwa cha familia) lakini ninyi now days mnataka muwe kichwa cha familia muwaongoze wanaume kitu ambacho ni impossible, kama huamini jiulize kwanini Yesu, Mitume, manabii wote hawakua wanawake?