Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Usawa ni kuondoa mfume ndume na ubaguzi wa kijinsia kati ya mwanaume na mwanamke katika nyanja za kisiasa, kiuchumi na kijamii.
 
Sasa kama mwanaume hampendi na hamheshimu mwanamke husika kwanini anafikia hatua ya kumuoa? Kwani kuna wanaume wanalazimishwa kuoa?
Ataoa akiamini siku akipata anayempenda ataongeza mke wa pili.
 
Aise nimekosa hata cha kuongezea ndugu yangu yaani umeenda mule mule hadi nimehisi kama nikiongezea hoja yangu naweza jikuta naharibu comment yako daah umemaliza kila kitu na natamani wanaume wote wangesoma hii comment yako wakaelewa ninachomaanisha
Ngoja waje waisome mkuu...na wa kukosa wakosoe pia..ila ukweli lazima tuuseme tu
 
mnataka wanawake tusifanye makosa ila wanaume mfanye makosa halafu wanawake tukae kimya tusiwaambie na wala tusiwafanye chochote au mnatakaje?

Mistakes are the part of our life so we should recognize and accept them.

Everyone can make a mistake since we are fallible ones.
 
mwanamke kaumbiwa mwanaume.........sehemu ya ubavu wa manaume.....so ubavu hauwezi kuwa mwili tena utabaki vivyo hivyo......tukiwapenda mtupende, tuheshimiane na kushirikiana......usawa uliopo ni binadamu wote ni sawa na wana haki sawa.......
 
Kitu pekee nnachojua Most Women demand equal rights and not equal Responsibilties

Tusaidie kutuelewesha zaidi maana kwenye responsibilities naona kama it now goes without saying...nyiingi zenu mmeanza kuziachia taratibu zinaangukia kwa akina mama....in the beautiful name of 'kusaidiana majukumu'....
 
Rights and duties/responsibilities are inseparable.
 
Ataoa akiamini siku akipata anayempenda ataongeza mke wa pili.
Na kwanini wakati kwa wakristo hairuhusiwi kuoa mke zaidi ya mmoja? Kwahiyo anapooa mwanamke ambaye hampendi lengo lake linakuwa ni kwenda kumtesa mtoto watu au? Na kutokana na hayo majibu yako unaona wanaume wanaofanya hivyo wapo sawa sawa kabisa?
 
Tusaidie kutuelewesha zaidi maana kwenye responsibilities naona kama it now goes without saying...nyiingi zenu mmeanza kuziachia taratibu zinaangukia kwa akina mama....in the beautiful name of 'kusaidiana majukumu'....
Ha ha ha ha nmeipenda "hii in the beautiful name of 'kusaidiana majukumu" Ki ukwel mlikua sahihi kwenye kudai haki zenu kama binadamu wa kawaida... Ila sehem ambayo mnafeli kwenye kutimiza wajibu wenu kama ambavyo haki yako inavyokutaka ngoja nikupe mfano mwepesi
Unasema Elimu sawa kwa mwanamke na mwanaume same time unamuwekea kiwango kidogo plus privilege kwa mwanamke hapo kama wajibu wako wa kufaulu kutokana na elimu sawa uliopewa hautimiz
So hii kitu inaenda mpka kwenye maisha ya kawaida as long as unakua ukijua una haki plus privilege bila kutimiza wajibu
So ndio maana wanaume hawatumii nguvu kukudai utimze wajibu wako hapo ndio tunapokuja kwenye 'kusaidiana majukumu'...
 
mwanamke kaumbiwa mwanaume.........sehemu ya ubavu wa manaume.....so ubavu hauwezi kuwa mwili tena utabaki vivyo hivyo......tukiwapenda mtupende, tuheshimiane na kushirikiana......usawa uliopo ni binadamu wote ni sawa na wana haki sawa.......
Exactly na wala hatuhitaji kuwa juu yenu tunajua kuwa siku zote tupo chini yenu ila tunachotaka kusema ni kwamba wanaume wasipende kutufanyia wanawake kama vile ambavyo wao hawapendi kufanyiwa
 
Na kwanini wakati kwa wakristo hairuhusiwi kuoa mke zaidi ya mmoja? Kwahiyo anapooa mwanamke ambaye hampendi lengo lake linakuwa ni kwenda kumtesa mtoto watu au? Na kutokana na hayo majibu yako unaona wanaume wanaofanya hivyo wapo sawa sawa kabisa?
1. Sio kila mkiristo anamuogopa Mungu kama wewe unavyomuogopa.

2. My oppinion is irrelevant maana makubaliano waliyoyafanya sikuhusika, kama waliona ni sawa kuolewa na wasiowapenda then wakiteswa ni sawa tu.
 
Back
Top Bottom