Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Mnapenda usawa kwenye kila kitu...

Kitu ambacho hakiwezekani kua na usawa wa 50/50 kati ya mwanamke na mwanaume..

Ili mwanamke aende sawa na mwanaume inampasa mwanaume amuhurumie mwanamke kwenye mambo mengi sana...


Cc: mahondaw
 
Mnapenda usawa kwenye kila kitu...

Kitu ambacho hakiwezekani kua na usawa wa 50/50 kati ya mwanamke na mwanaume..

Ili mwanamke aende sawa na mwanaume inampasa mwanaume amuhurumie mwanamke kwenye mambo mengi sana...


Cc: mahondaw
Huruma wao wanaona ndio haki yao.
Yaani Hawa wa hivi ndio mama wa mabinti watakaokuwa wake za watu miaka ijayo.
Nawaonea huruma Sana waoaji wa miaka hiyo
 
Ha ha ha ha.
Usichepuke pia aafu ukamletea jamaa dharau.
Atakuchoma na gunia mbili za mkaa na mafuta!!
😂😂wanaume mna roho ndogo sn
Nyie halali
Sie mnataka kuua mtu

Dunia siku iz daah..wanawake naona ni wamechoka kujishusha sijui
 
[emoji23][emoji23]wanaume mna roho ndogo sn
Nyie halali
Sie mnataka kuua mtu

Dunia siku iz daah..wanawake naona ni wamechoka kujishusha sijui
Ni sheria ngumu tu tulizojiwekea wanadamu kwa kisingizio Ni za Mungu.
Utaratibu wa divorce ungekuwa rahisi kuzinguana kungepungua.
Ukiona huna furaha mnapeana muda apart.
Kama hakuna suluhu mnamaliziana talaka kila mtu anaenda huko.
Haya mambo ya kuambizana alichokiunganisha Mungu wakati mfungishaji ndoa Ni mwanadamu Ni uongo tu.!!
Kulazimishana kuishi pamoja ndio kunaletea haya yanayotokea.
 
Ni sheria ngumu tu tulizojiwekea wanadamu kwa kisingizio Ni za Mungu.
Utaratibu wa divorce ungekuwa rahisi kuzinguana kungepungua.
Ukiona huna furaha mnapeana muda apart.
Kama hakuna suluhu mnamaliziana talaka kila mtu anaenda huko.
Haya mambo ya kuambizana alichokiunganisha Mungu wakati mfungishaji ndoa Ni mwanadamu Ni uongo tu.!!
Kulazimishana kuishi pamoja ndio kunaletea haya yanayotokea.
Sio rahisi mambo ni mengi sn afu mda mdogo
Na wakishakuwepo watoto basi tena
 
Habari za usiku huu wana JF?

Mie wala siyo mwingi wa habari ila nilitaka tu kuwauliza ninyi kaka zetu hili swali kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.

Swali: Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha usawa kivipi yaani kwenye mambo yepi haswa?

Swali la nyongeza: Je, mnataka wanawake tusifanye makosa ila wanaume mfanye makosa halafu wanawake tukae kimya tusiwaambie na wala tusiwafanye chochote au mnatakaje?

Naombeni majibu yenu tafadhali na hata wanawake wenzangu pia mnaweza kujibu chochote mnachojua kuhusiana na hayo maswali maana mimi sina majibu kabisa.
Wanawake wengi wa leo wanapemda usawa hasa katika mambo ya ndani...
*kuna baadhi ya wanawake huweza kuwapangia wanaume majukumu kwa mfano, wanawake wengine wanathubutu kumwambia mumewe." leo ni zamu yako ya kumuogesha mtoto.."
* Usishangae mwanamke kumwambia mumewe mmoja apike ugali mwangine apike mboga.
*mmoja aoshe vyombo mwingine apike
* mwanamke anapanga yeye afue, mume atapiga pasi.
* wanawake wa leo wanataka wakorome ndani, mume awe anapikea maagizo tu
Mwanamke anataka akitenga chakula kikishaliwa, mume atoe vyombo...
******wanawake wa leo kwenye tendo wanataka wakae juu, sisi tukae chini..[emoji43][emoji43][emoji43]....binafsi napenda kukaa chini, yeye aje juu..[emoji85][emoji85][emoji85][emoji87][emoji87]

Kwa misingi ya kiafrika, hayo mambo niliyoyaeleza mume anaweza kufanya kama sehemu ya mapezi kwa mkewe, ila kuna wanawake wwngine wanakaza sauti na kugawanya majukumu hayo kwa mumewe..

######Jukumu kuu la mume ni kumoenda mke, watoto na kutimiza mahitaji ya familia mf chakula, kodi, ada n.k...
######Jukumu la mke ni kuhakikisha familia inanufaika kutokana na kile baba aliyokileta, kumsaidia baba kazi kama kufua, kupiga pasi, kupika,nk ili baba awe na muda mzuri wa kutafuta kwa ajili ya familia.

Yaani wanawake wamekuwa wakitaka usawa wa 50/50 lakini cha ajabu mwizi akinyata huko nje usiku, utasikia "baba fulani we ndiyo mwanaume, toka kamfukuze mwizi"

Tunaomba na hapa pia mtusaidie ili 50/50 ifanye kazi vizuri.
 
Subiri wanaotafuta maandiko. Ila kwa sisi Wanaume Halisi huo muda hatuna.

Wewe ni mwanamke na utabaki kuwa mwanamke. Wewe jadiliana na wanawake wenzako au watoto lakini sio sisi wanaume.
Kipimo cha uanaume halisi ni kipi??
 
Tatizo hutaji hayo majukumu yenyewe ni yapi...
Majukumu ya mwanaume ni kutafuta pesa na kuhudumia mke na watoto na ya mwanamke ni kufanya kazi za ndani na kulea mume na watoto sasa leo hii wanaume mnataka wanawake tuingilie majukumu yenu ila ninyi hamtaki kuingilia majukumu yetu
 
Back
Top Bottom