Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

Habari za usiku huu wana JF?

Mie wala siyo mwingi wa habari ila nilitaka tu kuwauliza ninyi kaka zetu hili swali kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu.

Swali: Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha usawa kivipi yaani kwenye mambo yepi haswa?

Swali la nyongeza: Je, mnataka wanawake tusifanye makosa ila wanaume mfanye makosa halafu wanawake tukae kimya tusiwaambie na wala tusiwafanye chochote au mnatakaje?

Naombeni majibu yenu tafadhali na hata wanawake wenzangu pia mnaweza kujibu chochote mnachojua kuhusiana na hayo maswali maana mimi sina majibu kabisa.

Huwa tunamaanisha "chumbani"
unakuta umechukua side chick, mpo kwenye kugegedana, na yeye anataka upige kifo cha mende yeye akae juu, huo ndio usawa wanao utaka.
mwengine anakupigisha "chuma mchicha"

sasa , mwanaume unalala tu, yeye anakata mauno, mkitka hapoa anafurahinsana maana yeye(mwanamke) anakuwa kakugegeda.
 
Mimi siyo mjuzi ila ninaeleza kile ninacho elewa mimi.

Tunapoongelea usawa tunamaanisha tuondoe ule mnaouita mfumo dume kwamba binadamu wote ni sawa kitu ambacho si kweli. Mnaouita mfumo dume ni ule unaom favor mwanaume zaidi katika nafasi mbalimbali. Lakini kiukweli huo usawa mnaoulilia hauwezi kuja kutokea kwa sababu hata mkipewa nafasi bado hamtaweza kufanya vitu ambavyo mwanaume anafanya.

Mwanaume kaumbiwa roho ya ukakamavu, uvumilivu, na kujitoa muhanga katika hatari wakati huo mwanamke ana hali ya unyonge, kulia lia kila kitu na mwepesi kukata tamaa. Sasa mtu kama huyu anataka usawa na mwanaume.

Usawa tunaoulalamikia sisi ni ule wa kuingilia mipaka yetu achana hiyo uliyoongelea hapo.
Upo vizur Mkuu
 
Huwa tunamaanisha "chumbani"
unakuta umechukua side chick, mpo kwenye kugegedana, na yeye anataka upige kifo cha mende yeye akae juu, huo ndio usawa wanao utaka.
mwengine anakupigisha "chuma mchicha"

sasa , mwanaume unalala tu, yeye anakata mauno, mkitka hapoa anafurahinsana maana yeye(mwanamke) anakuwa kakugegeda.
Mmhh kwahiyo wewe unapenda kifo cha mende tu??
 
Ndio, hii insaidia kuangaliana na kufurahia zaidi.

Pia mdudu anaingia mpaka kunako, unaskia kama nyoka flani kaingia
Hongera mkuu wanaume wote wangekuwa kama wewe ingekuwa poa sana
 
Nahisi nipo nje ya mada kidogo lakini sometimes wanawake tunajichanganya

Tunataka haki sawa kwa wote wakati huo huo tuna ile kauli mbiu yetu eti wanawake tukiwezeshwa tunaweza...SMH!😔😔

Kwanini tuhitaji kuwezeshwa wakati tuko na mikono na miguu miwili mixer ubongo kama wanaume
Nitumie number yako nikuwezeshe
 
Nahisi nipo nje ya mada kidogo lakini sometimes wanawake tunajichanganya

Tunataka haki sawa kwa wote wakati huo huo tuna ile kauli mbiu yetu eti wanawake tukiwezeshwa tunaweza...SMH![emoji17][emoji17]

Kwanini tuhitaji kuwezeshwa wakati tuko na mikono na miguu miwili mixer ubongo kama wanaume
Upo sahihi Cc ephen_
 
Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?
Utakuta Mwanamke anataka Mwaume arudi nyumbani mapema na akiwa Nyumbani asiende kutembea na kutaka simu ya Mwanaume akaenayo bila sababu ya msing, kwakifupi kutaka kumkotroo mwanaume.
 
Utakuta Mwanamke anataka Mwaume arudi nyumbani mapema na akiwa Nyumbani asiende kutembea na kutaka simu ya Mwanaume akaenayo bila sababu ya msing, kwakifupi kutaka kumkotroo mwanaume.
Dooh kwahiyo mwanamke akifanya hivyo anakucontrol, vipi na mwanaume akifanya hivyo kwa mwanamke anakuwa anafanyaje, faida na hasara za kufanya au kutokufanya hivyo ni zipi
 
Back
Top Bottom