Superb2014
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 9,266
- 7,426
Kila iitwapo leo Wanaume wanazidi kupungua, mimi binafsi hata Wanaume wanaotoga masikio huwa siwaelewi kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asipo kuwa mweupe unafikiri atadanga wapi mkuu Bujibuji . Hao ni Marioo vijana wa ganda la ndizi. Wakipanda vyeo wanakuwa kama kiongozi wao James DeliciousView attachment 1744949
Siku za karibuni kumeibuka wimbi la wanaume wengi kujichubua, hasa wanaume wa Kinondoni.
Walianza wanamuziki wa Kikongo, lakini sasa hata wanafunzi wanajichubua hasa wa vyuo.
Tunakwama wapi jamani?
Suger mummy ndio wanapenda watu wenye mabaka mabaka kama chui?Wanatafta masugermammy
Huyu jamaa ni jangaNa Baba levo ndani ya karolaiti tayari
Hahaha nimepaliwa kwa kicheko daaah 😂😂😂Hiyo miguu nilifikiri ni ndizi za kuchoma.
#najivuniaucheusimangara#
Hatari sanaWanaume wa kike hawa....
Aliyachubua yakakatikaHana mapumbu huyoo,kwa jinsi alivyo
Kwa kasi kubwaKadiri miaka inavyosonga na ndio idadi ya wanaume inavyopungua..
Sasa huo urembo wanataka kuupeleka wap kama sio kitafta sokoWacha bhana
Ayo mabaka ni ajari tu ilitokea wakat wa kutafta urembo😂😂😂Suger mummy ndio wanapenda watu wenye mabaka mabaka kama chui?
CombatAyo mabaka ni ajari tu ilitokea wakat wa kutafta urembo😂😂😂
Ndo mana tumeambiwa tuoe mpaka wanne ili kupunguza idadi ya wanawake maana midume mingine ndo kama hiviKadiri miaka inavyosonga na ndio idadi ya wanaume inavyopungua..
Kwamba wanaume wa kinondoni.View attachment 1744949
Siku za karibuni kumeibuka wimbi la wanaume wengi kujichubua, hasa wanaume wa Kinondoni.
Walianza wanamuziki wa Kikongo, lakini sasa hata wanafunzi wanajichubua hasa wa vyuo.
Tunakwama wapi jamani?