Hivi wanaume tunakwama wapi? Inakuwaje ujichubue?

Hivi wanaume tunakwama wapi? Inakuwaje ujichubue?

Aisee nakumbuka nilikutana na mtoto wa Aunt Yangu Ni wa kiume kanizid Sana ..kajichubua kawa mweupe sikua nimemfaham mpka wadau waliponambia.
Nilibaki na maswali yasio na majibu...
Sku hzi naskia kaanza kua mweusi baada ya kupigika na kuanza kuendesha boda inaonekana upepo wa boda boda Ni noma.
 
Basi wakongo wamewaharibu baadhi ya wanaume au wanashare mafuta na mademu na wake zao
 
Bujibuji sio kujichubua tu kuna upumbavu mwingi tu wanaume wa hapo jijini Dar wanafanya kama:
1. Kujipodoa uso
2. Kubadili rangi za nywele
3. Kunyonyolewa vinyweleo vya miguuni
4. Kupaka rangi kucha
5. Kupaka lipstick zile za kung'ang'a
6. Kukatwa kuchwa na kusuguliwa miguu
7. Kusuka rasta kama hizi za wakima mama.

Yaani kuna upumbavu upumbavu mwingi sana na hapo bado kwenye mavazi ndio utachoka kabsaa.
 
Ni wapumbavu kabisa
 
Jinga hilo kwanza ndo yanakuwaga mashoga hayo
Yes. Ushoga ni hatua, huanza kidogo kidogo
 
Acha kufatilia maisha ya watu wewe................Fanya mambo yako
 
DAR INATUHARIBIA VIJANA[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom