Hivi wanaume tunakwama wapi? Inakuwaje ujichubue?

View attachment 1744949
Siku za karibuni kumeibuka wimbi la wanaume wengi kujichubua, hasa wanaume wa Kinondoni.
Walianza wanamuziki wa Kikongo, lakini sasa hata wanafunzi wanajichubua hasa wa vyuo.
Tunakwama wapi jamani?
hata kujistukia hawezi, yan kapiga pensi kabisa sijui hajioni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji6]
 
Nao wama mabwana zao ko lazima wang'ae kidogo
 
Sasa mtu anatako jeusi atapata wapi ujasili wa kumtengea Doggy Sponser wake?
Ni mbinu za kiuchumi tu hizo za Gen-Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…