Hivi wanaume tunaopenda wadada wembamba bado tupo au ni mimi tu?

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Lakini pia kwa sisi wwnye vibamia kadude hakadzuiwi na kuishia kwenye MAKEBO makubwa , kanazama angalau.
Una kibamia mkuu? Na haujui kukitumia? Pole sana mkuu, sasa huto twembamba tuna Bahari kule chini haijawahi kuona! Sitakaa ni-date kimbaumbau, sijui huwa navionaje aisee!
 
kwa kweli nisiwe mnafki.
mimi nachojali zaidi huwa ni awe na mguu wa bia
hata kama ana kiuno nyigu.
akiwa miguu kama spoku sitaki hata aniangalie usoni
Ama kweli kila mtu na fantasy zake. Kuna mwanangu mmoja anapenda utege balaa. Ni bora iwe matege ya kidada basi, yeye anayapenda yale ya kupinda kama brackets (). Kuna kadada kalihamia sehemu mtaani kama miguu ya hivi na kanavaa suruali za kubana kabisa, mwamba alikuwa halali kabisa
 

Attachments

  • ME-PI-8893989.jpeg
    36.5 KB · Views: 14
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…