Hivi wanaume tunaopenda wadada wembamba bado tupo au ni mimi tu?

Hivi wanaume tunaopenda wadada wembamba bado tupo au ni mimi tu?

Ama kweli kila mtu na fantasy zake. Kuna mwanangu mmoja anapenda utege balaa. Ni bora iwe matege ya kidada basi, yeye anayapenda yale ya kupinda kama brackets (). Kuna kadada kalihamia sehemu mtaani kama miguu ya hivi na kanavaa suruali za kubana kabisa, mwamba alikuwa halali kabisa
Kimfaacho mtu chake
 
Hakika slim girls wapo moyoni mwangu

Kwanza tu unaweza kumbeba wakati wa tendo na kumkunja kisawa sawa maana body inaruhusu

Lakini pia kwa sisi wwnye vibamia kadude hakadzuiwi na kuishia kwenye MAKEBO makubwa , kanazama angalau.

Big up kwa wadada wembaba JF.
Hivi ukiwa na kibamia unakuwa na nguvu ya kumbeba mtu mzima?
 
Back
Top Bottom