Kimfaacho mtu chakeAma kweli kila mtu na fantasy zake. Kuna mwanangu mmoja anapenda utege balaa. Ni bora iwe matege ya kidada basi, yeye anayapenda yale ya kupinda kama brackets (). Kuna kadada kalihamia sehemu mtaani kama miguu ya hivi na kanavaa suruali za kubana kabisa, mwamba alikuwa halali kabisa
Yule hakuwa wake sasaKimfaacho mtu chake
Hivi ukiwa na kibamia unakuwa na nguvu ya kumbeba mtu mzima?Hakika slim girls wapo moyoni mwangu
Kwanza tu unaweza kumbeba wakati wa tendo na kumkunja kisawa sawa maana body inaruhusu
Lakini pia kwa sisi wwnye vibamia kadude hakadzuiwi na kuishia kwenye MAKEBO makubwa , kanazama angalau.
Big up kwa wadada wembaba JF.
makebo kapigwa ban daaah
ππππMakebo yaheshimiwe na watu wote π€£