Yaah nikama hivyo but asilomia kubwa ya hayo maneno hayana ukwel
Uyo mshkaji wako amekuambia ukweli ila ndio ivyo tena simp kama nyie mkisha-fall in love kama Azizi Kii mnaingiaga mtoni kwa miguu yote miwili bila kupima kina cha maji. Time will tellHabar za majukumu ndug zangu,
Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake.
Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina mara nmepiga,mara ndani mchafu,mara hajui kukataa,mara ametoa mimba
Halafu asilimia 98% ya maneno hayana ukweli
Lengo n nn hasa
NIpeni mawazo yenu jamn maana uyu rafiki yangu,jamaa yang nmemchoka Kwa tabia yake ya kunikatisha tamaa Kwa Binti ninae mpenda yeye anatoa negative fixture ambazo sio hata za uhakika
Je? uliwah kukutana na swala kama ili na ulichukua hatua gani
Mkuusi ufuatilie ujue kama ni kweli, ametoa mimba, mama huruma au mchafu, hajui kukata maana huwezi kusema ni uongo mambo ya kukata si mpaka ushuhudie? kwani wewe unaweza kukutana na binti tu au mwanamke ukasema hajui kukata viuono si mpaka utest mitambo? kwahiyo usiipuuzie rafiki yako anakupenda, fuatilia ujue ukweli wake, kama muongo unamchana tu ukweli
Wanaume kama mabinti.